Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

Wewe na rafiki yako mmeoa wanawake wenye roho mbaya. Jirani tu nikisikia amepata ajali huwa nakimbia chaap nikajue kulikoni sembuse mume ambaye ni baba wa wanangu ndio nichukue masaa yote hayo na pesa ipo?
Wanaume wengi mmeoa mashetani bila kujijua. Kuna mahali macho yaliwadanganya mkafanya maamuzi ya maisha na watu wasio sahihi.
Siyo kwamba wanawake wa hivyo wote wana roho mabaya. Kujisahau, mazoea mabaya kama kuweka simu silence, kukaa mbali na simu etc ni baadhi ya sababu common zinazo wafanya some women wawe useless pale wanapohitajika na waume zao halafu wakawa hawapatikani. Halafu sasa hapohapo ndo unakuta mtu kama mchepuko yupo available kukusaidia.

Yes unapaswa kukataa kupokea msaada kutoka kwa mtu anayeweza kukuharibia ndoa unayoithamini. But kuna mazingira huwezi. Mfano: ajali. Upo mahututi, unasaidiwa. Unakuja kuzinduka unakuta aliyekuokoa ni ex mcheps tena yupo hapoo pembeni yako bado anafuatilia hali yako. Mke wako hayupo. Kisa kapigiwa simuu wee hapokei.

Mtoa mada katoa mfano halisi wa kuumwa, kukamatwa na police. Sasa imagine ghafla umeswekwa jela. Anakuja askari ndani anakuambia jiandae kutoka umewekewa dhamana. Unatoka nje unakutana na mchepuko ndo kakuwekea dhamana. Hapo ni hakuna ubishi, ni kwamba ni umesaidiwa na mchepuko. Kwamba kwanini una mchepuko ni suala jingine kabisaa.
 
Inawezekana wanawake huwa wanajua mapema kuwa kuna mchepuko halafu wanaamua kujifanya hawajui kwa sababu wanazojua wao. Pengine hata huko kuchelewa kukufikia ukiwa na tatizo si kujisahau bali ni kumpa nafasi mchepuko ufanye kazi yake. Wanawake wana namna zao za kutuaminisha wanaume kuwa tupo in control kwa maslahi yao.
Uko sahihi
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Anhaaa, mkuu fukuza huyo mke oa huyo
Mchepuko . Mwambie na huyo jamaa yako afukuze wake kisha aoe pia huo mchepuko.

Halafu baada ya miezi sita rudini hapa kutoa ushuhuda.
Sasa si watakuwa wake?
Tabia zitakuwa ni za mke
 
Mtu anayekubali kuwa mchepuko they're just a lost soul. May the Lord deliver these people.

Low sense of self worth, kwamba all you deserve kwenye haya maisha ni kufichwa kama chupi chafu! Huyo anayeku treat namna hii ana u special gani hasa? ? ? Ni sokwe tu aliyechangamka!

Kweli upendo wa pesa ndio chanzo cha maovu yote. Naona mtego wa nyumba na biashara hapo.

You deserve your own man sis, atakayekutangaza kila mahali na atayekupenda kikweli, sio kukudhalilisha huko behind the scenes.

Stay single if you haven't found him, dont settle for being someone's cum dumpster, or glorified housegirl.

BTW kama mke hajakuweka priority ukiwa umelazwa huko hospitali, maybe coz you're not a priority. She's with you for the kids.

Labda anasubirisubiri apewe habari njema kutoka mortuary.

#People who are not faithful to their spouses ni masokwe waliochangamka.
You've written this outta emotions!
 
Sithubutu, wewe ni complete package..
Ni wife, ni mchepuko, ni rafiki, ni bibi yangu, mshirika wangu wa kimaisha, mshikaji wangu, daktari wangu, mwalimu wangu, katoto ka 2000 kangu, mshangazi wangu..
Utapeli wa mwendo Kasi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom