Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

Anhaaa, mkuu fukuza huyo mke oa huyo
Mchepuko . Mwambie na huyo jamaa yako afukuze wake kisha aoe pia huo mchepuko.

Halafu baada ya miezi sita rudini hapa kutoa ushuhuda.
Akifanya hivo na mchepuko utajisahau tena.

Mchepuko ukimpandisha cheo anaacha manjonjo, hayo manjonjo anafanya ili apate attention, muda na hata hela zako, ukishampa vyote sasa lazima akupotezee tu.

Nature ya mwanamke ni ileile dunia mzima
 
Maneno mengi utadhani unachokisema una maanisha ukute nawewe ni mchepuko mtarajiwa.
 
Kwa mwanamke ndoa ni achievement, akishaolewa hana cha kupoteza tena, maisha baada ya ndoa anakuwa huru kujiamulia chochote au kifuchua makucha yake, hata mchepuko ukioa ndio utaona rangi yake halisi
Mchepuko daima ni mchepuko sio mke! Usichanganye mambo ukishamuoa amekuwa mke nimesem

Sometimes michepuko huwa...
 
Umepiga mlemle mkuu
 
Ndo uhalisia mkuu. Mwanamke unaweza toka safari/kazini unakamzigo hanyanyuki hata kuja kukupokea kama kuna watoto watakuja wao yeye amekaa tu si hayo tu ni mengi tu hata ukijinyima ukamnulilia kitu cha thamani ahsante yake ni ile anatimiza wajibu tu kama hajakipenda kama kapenda na ni wakosoaji mno!

Ukinunua kiatu mara akumbie ungenunu rangi flan daah...

Nilimununulia saa na cheni wife kwa 270k

Mchepuko nikaunulia saa hizi smart watch ya 60k nakwmabia mchepuko ulibubujikwa namachozi ya furaha 😆😆

Sikutegemea asee

Lakni ndo hivyo hao ndo wake zetu sio kwamba hatuwapendi la hasha tunawapenda na kuwajari sana tu.
 
Sikupingi lakini sisi ndo wanaume tunachosema ndo huwa tunaona na kuishi humo!

Kama mchepuko umekuelewa ni msaada sana.

Wake zetu ni wazito wala sio kwamba wanaroho mbaya yaani hawatilii manaani vitu kama hivyo!

Kwako wewe mwanamke ni ngumu kuelewa asee.
 
Inawezekana wanawake huwa wanajua mapema kuwa kuna mchepuko halafu wanaamua kujifanya hawajui kwa sababu wanazojua wao. Pengine hata huko kuchelewa kukufikia ukiwa na tatizo si kujisahau bali ni kumpa nafasi mchepuko ufanye kazi yake. Wanawake wana namna zao za kutuaminisha wanaume kuwa tupo in control kwa maslahi yao.
 
Siyo rahisi mkuu ni tabia yao.
 
Reactions: Tsh
Idiot pro max ni wewe mwenye mchepuko!

Hata mchepuko wa mkeo unaweza kuokoa maisha yako.

Napendekeza mkae kifamilia na michepuko yenu kila mtu apewe kitengo chake cha uokozi: huduma ya kwanza, zimamoto, mgambo, askari wa maji, ICU n.k
Sina mchepuko mimi wewe Kenge. Na hata siamini kwamba kuwa na mchepuko ni jambo sahihi. Nimekusanua tu kwamba msaada ni msaada tu. Mtu yeyote including mchepuko anaweza kuwa msaada - sometimes hata bila wewe unaesaidiwa kujua kwamba aliyekusaidia ni mchepuko. Anaweza kuwa mchepuko wako, ex mchepuko wako, mchepuko wa baba yako, wa mama yako, wa kaka zako, dada zako etc. Ninachokubaliana na mleta mada ni kwamba kuna mazingira mchepuko anaweza kuwa helpful at the same time ndugu wa karibu including mke wakawa completely useless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…