Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,297
- 27,064
Ukweli ndo huoAnhaaa, mkuu fukuza huyo mke oa huyo
Mchepuko . Mwambie na huyo jamaa yako afukuze wake kisha aoe pia huo mchepuko.
Halafu baada ya miezi sita rudini hapa kutoa ushuhuda.
Mchepuko haolewi.. akiwa mke tu, atakuwa kama mkewe.Anhaaa, mkuu fukuza huyo mke oa huyo
Mchepuko . Mwambie na huyo jamaa yako afukuze wake kisha aoe pia huo mchepuko.
Halafu baada ya miezi sita rudini hapa kutoa ushuhuda.
Sasa si atakuwa mke na sio mchepuko!! Hapo ndipo unapothibitisha hii kauli batili ya mtoa mada.Anhaaa, mkuu fukuza huyo mke oa huyo
Mchepuko . Mwambie na huyo jamaa yako afukuze wake kisha aoe pia huo mchepuko.
Halafu baada ya miezi sita rudini hapa kutoa ushuhuda.
Babe ole wako!Mchepuko haolewi.. akiwa mke tu, atakuwa kama mkewe.
Sithubutu, wewe ni complete package..Babe ole wako!
🤣🤣🤣🤣🤣Sithubutu, wewe ni complete package..
Ni wife, ni mchepuko, ni rafiki, ni bibi yangu, mshirika wangu wa kimaisha, mshikaji wangu, daktari wangu, mwalimu wangu, katoto ka 2000 kangu, mshangazi wangu..
Nahisi hujaelewa mada vizuri, mchepuko ni mchepuko na mke ni mke, na ikiwa ataoa mchepuko tayari sifa yake itakuwa imebadilika tayari.Anhaaa, mkuu fukuza huyo mke oa huyo
Mchepuko . Mwambie na huyo jamaa yako afukuze wake kisha aoe pia huo mchepuko.
Halafu baada ya miezi sita rudini hapa kutoa ushuhuda.
Waume za watu waliwahi kukufanyia nini? It seems kama una interesting story behindWaume za watu na michepuko ni kama CCM na wabongo. Watawabagaza mpaka wanyonge wenyewe watakapoamua kujikomboa na huo utumwa.
Go through my posts and familiarise yourself with my writing.Waume za watu waliwahi kukufanyia nini? It seems kama una interesting story behind