Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,278
Reaction score
24,174
Pamoja na kwamba tunaburudika na kuondoa stress za familia kwenye michepuko(nje ya ndoa) bado michepuko huwa ni msaada sana kwenye majanga au mahali ambapo unahitajika msaada wa haraka wake zetu/wanafamilia huwa ni wazito sana kufika kwa wakati.

Kuna kipindi niliugua nikalazwa hospital ya mbali sana nauli hadi nilipokuwa nimelazwa ukijumlisha hadi na bodaboda 59k
Kwenda na kurudi ni 118k bado hujala tuweke tu 150k.

Ni ndg yangu mmoja tu aliyekuja kuniona bana.

Eee bana kuna mahali niliyakanyaga tena nikajikuta nipo mkononi mwa police.

Familia niliipa taarifa mapema kabisa pamoja na ndg wa karibu mchepuko sikuupa hata taarifa lakni baada ya kupata taarifa japo kwa kuchelewa ndo ulikuwa wa kwanza kufika na chakula nikala tukapiga story ukarudi mida ya jioni tena huu hapa.

Jana pia mshikaji akawa ana nisimulia yale yale kama ya kwangu kwamba wake zetu tukiwaoa wanajisahau sana alieleza kuna kipindi alipata ajari pamoja na kumtaarifu mke wake mapema kabisa hata kabla hajafika hospital hela ikiwa ipo nk lakini mchepuko alikuja kuumbia baada ya masaa4 na bado ulifika kwa wakati hadi mke anafika aliukuta pale hospital (hakujua) na mengine mengi alisema jamaa.

NOTE: Wanawake mkiolewa acheni kujisahau wenzenu huko nje hawajui kupoteza muda na wanajari kweli pale tunapokuwa na magumu.


KUMBUKA:=>Siyo kwamba hatuwapendi wake zetu la hasha tunawapenda sana bali muelewe sisi wanaume tumeumbwa hivyo.

Ni wazi kuwa mchepuko kama huo ni rahisi sana mwanaume kuujengea nyumba au kuupa mtaji ama vyote kwa pamoja (Nyumba na biashara)
FB_IMG_1759464024904.jpg
 
Anhaaa, mkuu fukuza huyo mke oa huyo
Mchepuko . Mwambie na huyo jamaa yako afukuze wake kisha aoe pia huo mchepuko.

Halafu baada ya miezi sita rudini hapa kutoa ushuhuda.
Nahisi hujaelewa mada vizuri, mchepuko ni mchepuko na mke ni mke, na ikiwa ataoa mchepuko tayari sifa yake itakuwa imebadilika tayari.

Na mwamba hajaandika kuwa mke wake ni mbaya au hajali.
 
Mtu anayekubali kuwa mchepuko they're just a lost soul. May the Lord deliver these people.

Low sense of self worth, kwamba all you deserve kwenye haya maisha ni kufichwa kama chupi chafu! Huyo anayeku treat namna hii ana u special gani hasa? ? ? Ni sokwe tu aliyechangamka!

Kweli upendo wa pesa ndio chanzo cha maovu yote. Naona mtego wa nyumba na biashara hapo.

You deserve your own man sis, atakayekutangaza kila mahali na atayekupenda kikweli, sio kukudhalilisha huko behind the scenes.

Stay single if you haven't found him, dont settle for being someone's cum dumpster, or glorified housegirl.

BTW kama mke hajakuweka priority ukiwa umelazwa huko hospitali, maybe coz you're not a priority. She's with you for the kids.

Labda anasubirisubiri apewe habari njema kutoka mortuary.

#People who are not faithful to their spouses ni masokwe waliochangamka.
 
Back
Top Bottom