Sometimes kumweka msichana friendzone kuna raha yake

Sometimes kumweka msichana friendzone kuna raha yake

Habarini,

Kama tunavyojua sisi wanaume sometimes unaweza ukabashiri with 100% accuracy kuwa mwanamke anakutaka kimapenzi kutokana na ishara anazokuonesha, na ikawa ndo hivyo.

Back to the point so kuna this girl ambaye kusema kweli ni mrembo haswaa, mtoto mweupe shombe shombe ambae nipo nae mtaa mmoja, anafanya kazi kwenye art gallery moja hapa mjini (jina kapuni) kiukweli karibia kila mwanaume alie straight akimtazama atasema "she is beautiful".

Kwa picha ya haraka haraka ukimwangalia unaweza ukasema kuwa yuko so used na kupata "excessive male attention". Siku ya siku most of the time akawa anapenda kujisogeza sogeza ili awe karibu yangu, akikutana na mimi atabadilisha hata njia ili tutembee wote, together with the way she looked at me.

Ukichanganya na jinsi rafiki yake alivokuwa akijaribu kujenga mazoea na mimi, nikajua hapa huyu msichana keshanitamani, kiukweli hata mimi kwa kiasi flani nlimtamani ila nkasema no (my ego was way too big) nkasema huyu msichana nikimtongoza atajiona staa.

Nilimwomba namba ya simu, (ingawa katika mawasiliano yetu yote yeye mwenyewe hajawahi ku-initiate contact). Nikawa napiga nae story za kishkaji tu, mpaka ikafika kipindi nkawa namwomba anitumie namba za baadhi ya female friends wake (ingawa alikuwa hatumi).

Nlivozoeana nae nkawa naanza kuongea nae mambo ya sex like wanaume aliokwishawahi kuwa nao "in a buddy way" duuuh ckujua aliponibadilikia aliniwakia kuliko moto wa tairi ya scania huku akiniambia nikome kumtumia text kama zile, she is not interested etc mimi nkabakia kucheka tu nikajisemea kimoyomoyo kuwa she is frustrated, najua ananitamani ila najifanya simwelewi.

Mwingine anauza duka la vipodozi, najua ananitamani lakini mimi napiga nae story kawaida tu, then naanza kumuonesha picha na text za wasichana niliowahi kutoka nao kimapenzi, ilifika siku nahisi yalimshinda yani alipayuka na kusema nitoke dukani kwake baada ya kumuuliza saana kama yupo serious na anachokisema ndo akasema nilikuwa natania bhana,

Keeping the story short daah ila kuna raha yake kumweka msichana friendzone, kukutongoza hawezi, una flirt na mademu wengine, na yeye unam-ignore hahahahhahaha wanakerekaga ila basi tu mimi huwa nawacheka kimoyo moyo. Nafanya hivyo ili tu kukuza my ego its fun kama kuna wanaume mwingine humu mmu mtapenda hii trick ya kuweka wasichana friendzone nashauri mjaribu.

Its a power play lara 1 , amu , miss chagga
Kwa hiyo huwa unawaonesha mademu hao picha na text za mademu wengine ili kuwapagawisha au kuwatia wivu au vipi?,kama sikosei wewe utakuwa ni yule mshamba alieshikwa na Polisi pale Dubai airport,kwa kosa la kumshika na kujipiga nae selfie demu mhudumu ndani ya ndege ya Emirates,ushauri wangu acha tabia hiyo.
 
Hahahaaaaa
Nifah mrembo,unacheka mambo ya hatari kabisa,yaani kijana rijali amegangamala kujishaua(anaita eti friend zone),tena sio kwa msichana mmoja,eti kwa kila msichana,tena anathibitisha kuwa ni wasichana wakali kama wewe Nifah,sasa mpaka lini friend zone?mwisho wake nini?,kupakwa rangi ya kucha?
 
watu na uzuri wenu mpaka kila mwanammke anawatamani

mimi sijawahi kuwa na bwana aliewahi kutamaniwa[emoji23][emoji23][emoji23] wala kutongozwa

namtamani peke yangu..!
 
mbona mnakuwa hivyo jamani? mwenzenu anataka ku-boost ego nyie mnamzingua! Mwaya kaka hongera kwa ku-play mabinti wazuri.
Ana boost ego, alafu akienda kuoga anajiboost na sabuni. That is goooooooood.
 
Nifah mrembo,unacheka mambo ya hatari kabisa,yaani kijana rijali amegangamala kujishaua(anaita eti friend zone),tena sio kwa msichana mmoja,eti kwa kila msichana,tena anathibitisha kuwa ni wasichana wakali kama wewe Nifah,sasa mpaka lini friend zone?mwisho wake nini?,kupakwa rangi ya kucha?
Hapana mkuu,mimi nimecheka kuhusu alichokisema piere tall...

Back to the topic...wajinga wajinga kama huyo akikutana na mimi atajuta.
Maana tricks za kishamba hivyo huwa nazishtukia mapema sana.
Hata hivyo ni ujinga ujinga tu wa wavulana,mwanaume hafanyi hayo.
Ndio maana huwa najiweka mbali sana na vivulana aiseee..
 
Hapana mkuu,mimi nimecheka kuhusu alichokisema piere tall...

Back to the topic...wajinga wajinga kama huyo akikutana na mimi atajuta.
Maana tricks za kishamba hivyo huwa nazishtukia mapema sana.
Hata hivyo ni ujinga ujinga tu wa wavulana,mwanaume hafanyi hayo.
Ndio maana huwa najiweka mbali sana na vivulana aiseee..
Bravooo,nakuunga mkono basi.
 
Sukari hamna,Mafuta ya taa nayo hayapatikani...shida tupu..Tuko tunaomba watuachie japo chumvi la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi.
 
unazingua acha kucheza na hisia zao...hizo hakuna anayependa....bora umgegede tu tujue moja
 
sio mzima wewe friendzone ndo nini arifuu unazingua, hatunaga friendzone na msichana si tunakulagaa
 
dah! inasikitisha sana yani huja gegeda hata mmoja unatia aibu kijana si bure we utakuwa ni mwanaume wa dar
 
Back
Top Bottom