Sometimes kumweka msichana friendzone kuna raha yake

Sometimes kumweka msichana friendzone kuna raha yake

Mmh kwa hiyo unasikia raha mwenyewe? Endelea kudengua na ego yako, wakiwahiwa usije tu kulia
 
Ujinga ujinga tu hakuna cha maana.
Kwahiyo kutamaniwa unapata kichwa? Then what?
Are u even a complete man? Put aside being a boy.
Hoja kisoda uliowa-tag watakuletea hoja pipa.
 
Mkuu, mwanaume kutamaniwa na mwanamke ni kitu cha kawaida Bavaria
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa wameshawahiwa, na huenda wana michepuko yao mingi tu Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:
Ktk east african slave trade, waliuzwa mpaka watu majingajinga, ningekuwepo wee ningekuuzia mbali, na km usingenunulika ningekutoa bonus pale Bagamoyo slave market!
 
Ktk east african slave trade, waliuzwa mpaka watu majingajinga, ningekuwepo wee ningekuuzia mbali, na km usingenunulika ningekutoa bonus pale Bagamoyo slave market!

Hahahaha! we kiboko
 
Kwamba we huwahitaji ila unawacheki wanavyojisogeza kwako?
 
Hawa ndiyo madhara ya kuishi nyumbani huku umri umeenda
 
Zishafunguliwa huyu atakua ni mtoro sugu

sio hilo tu mm najaribu kupiga picha mama yake akiwa na wenzake maskini mama wa watu anajitapa ana mtoto wa kiume ambae baadae atakuwa baba wa familiya. Duh wazazi wana sheeda
 
Yaniii sijaelewa ulichoandika kabisaa....so yo enjoying .....utakosa mke wewe...endelea na ujinga wako tuuu....kuna siku utamchase mkee
 
Hokoyokoooo. Nini faida yake haswaaa?

kuna vitu katika maisha tunavifanya sisi binadamu ambavyo havina faida yoyote kwetu kama vile Ulevi, sigara etc ila its just for fun, mm nafanya hivyo just 4 fun kiboromgogo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom