Sometimes kumweka msichana friendzone kuna raha yake

Sometimes kumweka msichana friendzone kuna raha yake

Ktk east african slave trade, waliuzwa mpaka watu majingajinga, ningekuwepo wee ningekuuzia mbali, na km usingenunulika ningekutoa bonus pale Bagamoyo slave market!

Cku hizi kuna modern human trafficking ntakupm nkupe details zangu ili ukantoe bonus uarabuni slim5
 
Last edited by a moderator:
tatizo hao ni MA. DE. MU ..
ndo maana ni rahisi sana kufanya unachokiita kukuza ego…

but let me tel u somthin boy infront of a woman/a lady mbio zako ztaishia sakafuni...
huamini move from MA. DE. MU zone to ladies zone afu uje tena jukwaan
 
Nikisema wanaume wengi wa Tanzania wanamatatizo watu wnanishangaa sasa huyu naye ni mwanaume wa aina gani?
 
Hahaha oh boy! So you get close to a 'beautiful' mama, and the best you can do is ask about brothers that been there and floss to her about who you been with, what a game?! Play on player.

Anyway, Men mack, women flirt.

Don't mind him he is 16
 
okoyoko

Kungekuwa na kikombe cha wanaume wenye akili Zisizokua ningekukabidhi. Wanakutaka sijui wanakutamani, wamekuambia kama sio akili yako ya kitoto hiyo inakuaminisha hivyo vitu. Hujui wanawake wanavyodharau ujinga wa kuwaonesha picha na meseji za mtu mwingine, unajichoresha kiasi hata kama kuna anayekupenda anakushusha hadhi taratibu.
 
Hata kama wakinishusha hadhi whats the big deal PesaNdogo
 
Last edited by a moderator:
Hata kama wakinishusha hadhi whats the big deal PesaNdogo

The issue is you are not such a big deal, you should just know that and take it easy. Wanaume wengi wabongo wakichekewa au wakijibiwa vizuri hata kutendewa wema wanadhani wanatakwa kimapenzi.!!
 
Last edited by a moderator:
The issue is you are not such a big deal, you should just know that and take it easy. Wanaume wengi wabongo wakichekewa au wakijibiwa vizuri hata kutendewa wema wanadhani wanatakwa kimapenzi.!!

Hahahahahahahahaaaahaaaaahaaaaa PesaNdogo
 
Last edited by a moderator:
Hv unazjua stañdards za demu mzuri au unalitumia neno ili kunogesha story..!?
 
Back
Top Bottom