Asante kwa kuweka hili wazi. Hizi soft skins wanazosema wahaya wa vijijini wanazo huko dijazoona bado, nimeenda na kukaa huko Kyerwa hadi milima ya Murongo, leo ndio nasikia eti wadada wa kihaya wana sura nzuri na ngozi nyororo kisa hawafanyi kazi ngumu kama wa mikoa mingine. Sijui hizo takwimu zatoka wapi Jamani...na vumbi lile...mmmmh...
nazijua, sema Mungu alimnyima mke wangu kelele..
Kwa definition zote ... hata ya kichina...Unajua maana ya neno Biashara?
kuwa mpole shem
atakuja ameenda beach kidogo
yah..sio kuogelea.
si unaijua kazi yake?
aah!! shemeji acha hizo basi..