Something Special on Haya Girls

ndoa ipi wewe? hapa ni MMU siyo chit chat eti..
hny! nakusoma vyema ati!!
hunielewi wapi?

au bado unasoma?

Siku nikikushika nahakikisha ukirudi nyumbani mkeo atakusahau wewe ngoja tu........
 
yaah..halafi ya wasukuma ya konyagi..
mwanamke anaendesha baiskeli na gunia la mahindi kama kilometa 20 kwa nini miguu isiote vigimbi?

Miguu ya bia usukumani ndio ilipo zaliwa.Ukijumlisha na tabia zetu plus ukarimu tisa kumi ile chocolate colour yetu uwiiiii no one like us.....
 
Miguu ya bia usukumani ndio ilipo zaliwa.Ukijumlisha na tabia zetu plus ukarimu tisa kumi ile chocolate colour yetu uwiiiii no one like us.....

hapa hujasema kweli..
Usukumani ni sehemu niliyoishi pia kwa muda mrefu.

wadada wakisukuma hadi kugundua uzuri wake ni shughuli pevu..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…