asante atleast nimetoa kutu
Yes binadamu tupendane wamasai ndugu zangu sana kuna dada rafiki angu alinitafutia dawa ya kukausha mafuta usoni.... Now niko softi kama yeye... Pia alitutapatia dawa ya sikio mtoto alipona mara moja yani ni mambo mengi sana.....
Wamasai hawana shida kwa kweli
Kwa upande wa wakaka ndio kabisaaaa peace and love
mi nawapenda watu wote ila kuna ambao nawapenda zaidi
ila sio ku base kwenye kabila
Na sie wakurya!
Yes binadamu tupendane wamasai ndugu zangu sana kuna dada rafiki angu alinitafutia dawa ya kukausha mafuta usoni.... Now niko softi kama yeye... Pia alitutapatia dawa ya sikio mtoto alipona mara moja yani ni mambo mengi sana.....
Wamasai hawana shida kwa kweli
Kwa upande wa wakaka ndio kabisaaaa peace and love
chagga are by nature beautiful banah regardless the stereotype!!
Amen amen amen
Ayaaaaaaaa........ilikuwa imetosha sana mbona kwa sifa.......haikuwa na haja kuweka huu mstari.........kumbe ni threat eeeehhhh........jiaminini bana............
Mbony safo Pree?
Shicha tiki meku.........mbony tsa sikukuuuu........?
ashong' mae maiyo nukyerera kichaka..
nyi letsa na maka tupu utswae ho..
Nang'cha ee..
Wahaya ni wazur wengi wana maumbo mazuri sana na pia wapo romantic sana jambo moja hatari sana ni kuwa wengi sio wasafi. Nimebahatika kuishi Bukoba zaid ya mwaka mmoja wanawake sio wasafi kabisa ndio maana wengi wao wana magonjwa ya zinaa na yashakuwa chronic hasa yanayotokana na uchafu.Ukitaka kuamin uliza mtu yeyote anayefanya kaz idara ya afya kule atakuambia. Japo matatizo hayo hawez kuwa nayo kama amekulia sehem nyingine .Sorry to say
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums