Like seriously? Hivi nikosema come over to my house utadhubutu kuja ulale? Kweli ww mjamaa
Pia nawe Miss chaga waweza kum-host huyu kijanaNitakuhost kwa makubiano unilipe kila siku elfu 20 na kila kitu juu yako
Pia nawe Miss chaga waweza kum-host huyu kijana
King'asti hebu m-host huyu kijana kama upo single
Mpwa niulizie jinsia yake afu uniPM tafazali.
Hehehe usiku akigeuka popo bawa je?
ungekua binti ninge kuunganisha na mtu fulani hivi.
Umetoka wapi? Dar utakuja lini? Funguka usaidiwe. unapoomba msaada usiweke limit ya msaada. Mia
Hehehe usiku akigeuka popo bawa je?