Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,255
- 10,503
Mpwa niulizie jinsia yake afu uniPM tafazali.
hapo ndio nnapoona raha ya kuwa mwanamke. misaada inaflow tu!
Mpwa niulizie jinsia yake afu uniPM tafazali.
mkwe nimeipenda avatar yako.
Kwa avatar yako hiyo kama ndo ulivyo natamani uni-host mimi mkuu Ram, teh teh tehNi pm tu mpendwa nitakuhost kiroho safi
Kwa avatar yako hiyo kama ndo ulivyo natamani uni-host mimi mkuu Ram, teh teh teh
Karibu mkuu, naishi huku kitunda kabisa
NiPM. Karibu darHello fellows,
I'm coming to Dar for an interview, can someone volunteer hosting me for a week? just a place to stay, everything else on my own.
Thanks.
Aisee nitakuja mkubwa maana nina site yangu huko. Vipi wakurya wa kuuza tray za mayai huko
Tupo tumejaa tele, ndio kazi iliyotuleta darisalama
Ungekua mdada ningeweza kukusaidia ila jinsia tofauti NO WAY
Ungekua mdada ningeweza kukusaidia ila jinsia tofauti NO WAY
Jinsia tofauti ndo vizuri Heaven, utakuwa unaonesha huna ubaguzi katika kusaidia au imekaaje hiyo
We uko itakua kuwekana majaribuni... tuishie kwingine..
Na we watafuta wa kuku host??
ngoja na mimi nitafute wa kunihosti nikija dar kuleta sangara...
We najitolea kukuhost....
Vigezo vya jinsia naweka kapuni kwa sasa
Dar nakuja kesho mkuu (J5).