Some girls you should grow up!

Some girls you should grow up!

its seems unamapenzi ya kitoto na hampo wazi ... game inakuwa ya kushtukizwa tembea na salama tu
 
Hahahaaa uwiiii jamani hicho "kingrezaaaaa" dah ngoja mie nitumie lugha ya taifa tu maana nikitumia hicho kidhungu nisije nika breed kwenye ulimi buree. Teheeee
 
Damu?tena baada ya mwaka,huyo mwizi mzoefu
Umependa wewe yeye hakupendi hata chembe!
 
Mamaee! Hapo sikubali hapo ni punda afe mzigo ufike ataliwa tu atatoa hyo miped yake atasafisha maku yake na atagongwa tu nyamaafu. Mm npoteze gharama zote halafu yeye alete ungese hapa
 
Afu wanaume wskinyimwa wanakuwa kama watoto..
 
Damu?tena baada ya mwaka,huyo mwizi mzoefu
Umependa wewe yeye hakupendi hata chembe!
Mkuu hata ukikamulia tomato ile ya chips mtu anaingia chaka. Njia hii hutumiwa na wezi waliokubu!
 
ahahaaaaaaaaa ati kutoa game inakuwa ngumu dunia nzima? lalalaaa u make me happy bt any way tuvumilieni wapendwa
 
Back
Top Bottom