Some girls you should grow up!

Some girls you should grow up!

Sex ya kupanga wapi na wapi, nimeshangaa if there still people out there mnapanga eti Jumamosi we are having sex, that can be a very boring sex life. As long as niko naye the two of us, thats enough!

That is good... siyo sex mpaka kamati ikae
 
Kitu kibaya sikuhizi wanawake ni wezi sana. swala baya zaidi ni sisi wanaume tunataka vitu vizuri wakati 1. uwezo navyo hatuna 2. Kupoteza muda 3. Kutokujua unataka nini ndani ya mahusiano.

1. Sikuhizi dada zetu ni mashindano kuanzia kuvaa, malazi,gari,pesa nk wanataka birthday party ,anniversary zisizokua na kichwa wala miguu kwa tamaduni zetu.So kama Pesa yako ni ya kuchangiza bora level yako ya wanawake iwe size ya kati ama low.

2.Kupoteza muda: mahusiano kama hayana malengo ni kupoteza muda. Mtu unapata demu wa kulala nae ama unatafuta companion wa kuishi nae ? kama wa kuishi nae as ur wife hata mkikaa miaka 200 bila tendo haisumbui kichwa but kama ni papara za wacha nionje mapema kweli ni bora mdada akuweke tomato sosi kwenye p e d i ndio akili ikae sawa.

wanaume tujitambue ndio maana kwa kutaka wanawake na high life tunabaki kuwe wezi maofisini kisa kukidhi tamaa ambazo unaweza ukajilimit mwenyewe.
 
ungemla na ndom ata kdogo tu,ili mradi ni mti kdogo ata kwa nguvu asilete utoto tena..........!!!!
 
Unakutana na mdada cute,intellectual unaamua kuspend nae for sometimes as ur heart commands u. U take more than six months kumtongoza tu hadi mnaafikiana japo with millions of conditions kwamba hutotaka game mapema. Unalibaliana ili kumprove km ur there for her in sweets na bitter.

Fine,ushakaa nae mwaka sasa unaamua kuomba game. Hapo ashakula vyako vya kutosha and you don mind so long as she is part of you. she seem to be there too.

Hapo kwny kutoa mechi panakua pagum dunia nzima. Atasingizia sababu zooote ulizowahi kuzisikia na hata kuziota. Pengine ukapata na nyingine mpya. Mwisho wa siku zote zimeisha,anaona ameshasingizia majanga yote ambayo yanakwamisha game.

Mwisho wa siku anakubaliana tu,mnapanga tarehe. Hapo mwanaume upo na Gregorian Calendar si chooni, kazini bar unalala NA kuamka nayo. Unahesabu cku hiyo ifike.

The long wait,cku ndo inafika. To make it markable unaibajetia to a great deal. masikini, salary yote siku moja tu. Mdada anafika eneo la tukio. ananukia km jini maimuna, unajiapiza kwamba hapa leo diiiih....hapatoshi!!

Mnaanza romance, apo boxer inanata utadhani umeifua na gundi hivi. Kijasho chembamba kinakutoka. As u ahead unaambia nipo Breed.
Hautaamini, unafunguliwa unakutana na damu tu..
ooooh shit!!!

Ukiuliza why didn't u tell me before ??..."U don trust me,I thought u won't too,so I came to prove u"

What a hell is this?????
..

Apo mkuu ujakosea hata kidogoo upo sawa kabisaa
 
congrats binti. nilidhani wameisha kumbe bado wapo
 
Back
Top Bottom