Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,220
- 12,726
- Thread starter
- #41
Alladini na taa ya ajabu
Tuwekee vitabu vingi zaidi vya dizain hii, ukiweza ata kile cha rich dadTajiri wa BabeliView attachment 1770277
Mimi ni mwandishi wa vitabu nitanufaika vipi nikiweka hadithi yangu kwenye App yenu?Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa.
Maktaba - Apps on Google Play
Maktaba app inayokuwezesha kusoma vitabu mbalimbali vya kiswahili.play.google.com
View attachment 1690951
Bahati mbaya mkuu hatuuzi kitabu kimoja kimoja na hatuna bajeti ya kumlipa mtu kuweka kitabu chake.Mimi ni mwandishi wa vitabu nitanufaika vipi nikiweka hadithi yangu kwenye App yenu?
Mkuu weka sample hata kimoja humo nione jinsi vilivyo .
Sikuhizi mmeitoa au?Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa.
Maktaba - Apps on Google Play
Maktaba app inayokuwezesha kusoma vitabu mbalimbali vya kiswahili.play.google.com
View attachment 1690951
Kuna vitu google walisema tuviweke sawa. Itakuwa hewani tena karibuni.Sikuhizi mmeitoa au?
OkKuna vitu google walisema tuviweke sawa. Itakuwa hewani tena karibuni.
hiki kitabu kizuri sana.. usisite kumkaribisha Pete hapa jukwaani, kinakidhi hadhi za kina chinua achebe nk . ..Jamaa yetu ameandika hiki kitabu. Ametumia Pen name ya Pete McGregor. Kinahusu safari ya nyumbu mdogo wakati wa ukame mkali huko Serengeti na jinsi maajabu ya Serengeti yalivyoanza. Ni kitabu cha watu wa rika zote.
Ofa ni kupakua bure hadi ijumaa tarehe 12/2. Ukikisoma tunaomba maoni yako kukihusu. Ingia kwenye link hapo juu uinstall app toka playstore.
View attachment 1697167View attachment 1697166