Pata vitabu vya Sheria kwa Kiswahili

malecela

Member
Apr 7, 2012
12
19
Amani iwe kwenu ndugu zangu!

Naam nmekuja tena na vitabu vya sheria kwa kiswahili toleo la pili baada ya toleo la kwanza kufanya vizuri.

Vitabu hiki kimechambua kwa undani sheria zifuatazo:
1.SHERIA ZA NDOA NA MGAWANYO WA MALI NDOA INAPOVUNJIKA NA MALEZI YA WATOTO.
2.NAMNA YA KUJITETEA UNAPOKUWA NA KESI MAHAKAMANI AU POLISI
3.SHERIA ZA MIRATHI NA JUA NANI ANASTAHILI KURITHI KATIKA MIRATHI
4.NAMNA YA KUENDESHA KESI MBALIMBALI MAHAKAMANI NA KATIKA MABARAZA
5.SHERIA ZA KAZI NA HAKI ZA MFANYAKAZI PALE ANAPOFUKUZWA KAZI
6.SHERIA ZA ARDHI NA NAMNA YA KUDAI FIDIA ARDHI INAPOCHUKULIWA.
7.SHERIA ZA MICHEZO MBALIMBALI MFANO FOOTBALL
8NAMNA YA KUPATA FIDIA ARDHI YAKO INAPOCHUKULIWA
9.FAHAMU ADHABU MBALIMBALI ZA MAKOSA YA JINAI NA MADAI
10.UKOMO WA KUDAI HAKI ZAKO(mfano ukomo wa kudai deni,ardhi etc)
11.HAKI ZA MSINGI ZA BINADAMU NA HISTORIA YAKE
12.HAKI ZAKO UNAPOKAMATWA NA POLISI
13.NAMNA YA KUPATA DHAMANA POLISI AU MAHAKAMAN
14.NAMNA YA KUKAZIA HUKUMU
15.NA SHERIA NYINGINE NYINGI.

Huuu ni mwendelezo wa kutoa elimu ya sheria kwa umma kwa lugha ya kiswahili,kitabu hiki kimechambua sheria,kanuni na kesi mbalimbali maarufu na mhimu.

Unatumiwa na kuletewa popote
Mawasiliano na mwandishi ambaye ni wakili msomi ni 0717901233 DSM.

N.B karibuni mpate madini yaliyoandaliwa kwa zaidi ya miaka 2!

NB.NO YA SIMU NI: 0717901233

20221002_091551.jpg
20221002_091608.jpg
20221002_091546.jpg
20221002_091608.jpg
 
Unatoa Bure au unauza?
Na kama unauza mbona hujasema bei?
Au ndio usomi wenyewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom