Soma kwa makini hii taarifa kuhusu shambulio la Mbowe

Kawe Alumni hivi kwanini mnahangaika hivi?

Huu muda kuchokonoa haya yote si ungeutumia kufanya kitu cha kukuingizia kipato au kama umeridhika na ulivyonavyo hutaki ziada sio ungeutumia hata kusoma biblia au juzuu au kama navyo hutaki si hata ungetumia kusoma kitabu cha hadithi ukaongeza kitu kichwani?

Kwanini mnaigeuza hii kama ishu ya kitaifa, Kweli Taifa halina kabisa ishu za kudiskasi zaidi ya hii? Siku 2-3 za mwanzo zilishatosha hebu tuendelee na mangine basi jamani.

Wengine ambao hatuna vyama tunasikitika sana. Hili swala linaonesha chuki ilivyoanza kujikita moyoni mwa waTanzania aisee. Kama alianguka au alikanyagwa, imeshaisha hiyo. Si polisi na spika wameshasema alikuwa kalewa na alikuwa na mwanamke usiku wa manane, basi sasa ridhikeni tujadili ya maana basi. Hivi hata bajeti iliyotangazwa majuzi una muda wa kuichambua kama unavyochambua tukio la Mbowe kuanguka sijui kukanyagwa?

Na hawa madokta wetu wa siku hizi tabu sana. Bila amri ya mahakama unatoaje details za mgonjwa kiasi hiki? Hivi siku wahindi wale wa Apolo nao wakiamua wakatawanya madocuments ya kuumwa na kulazwa hadi gharama za spika alizotibiwa India itakuwa sawa kweli? Tuacheni siasa kwenye kila kitu.
Wakati wengine tuko hku mlali Sahv tunazisaka
Wengine kutwa wapo wanaumiza vichwa sjui mbowe nkya.......
Lkn huwez jua Labda wanaishi kwa style hiyoo wanaingiza nao

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hatari
IMG_20200613_131913.jpg
 
Nyie wajinga mmetengeneza ripoti yenu feki inayopingana na ile ya polisi jana.

Hapo mnasema alikuwa assaulted, jana polisi wenu walisema alianguka, mna akili ndogo mnashindwa hata ku-copy na ku-paste.

Halafu mmesahau uongo wenu wa bungeni alilewa chakariii.
 
How aunthetic is that report shown? Where did you get it? In case you plotted to come up with a forged one, don't you see how you turn us into idiots?
 
Chief
Chuki wanazo wao
Baada ya kukosa wanachokitaka,na kufeli Mission yao,

Wataendelea kutoa povu katika maisha yao
Kizazi cha ajabu sana hiki....

Chief
endelea na shughuli zako,wengine humu Jf ni Maroboti
Mkuu mimi sina chuki na Mbowe personally namkubali ni mwanasiasa mzuri ila anamapungufu yake pia

Kilikuwa na ulazima gani kuichafua serkali ?
Kwanini asingetulia atibiwe kimya kimya ?

Kunywa pombe si dhambi sawa Kwanini watu wake waisingizie serkali ?
 
Mbowe amerubuni daktari hatuwezi kujua
Nyie wajinga mmetengeneza ripoti yenu feki inayopingana na ile ya polisi jana.

Hapo mnasema alikuwa assaulted, jana polisi wenu walisema alianguka, mna akili ndogo mnashindwa hata ku-copy na ku-paste.
 
Back
Top Bottom