Soma kwa makini hii taarifa kuhusu shambulio la Mbowe

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,694
2,000
20200613_123603.jpg

Tuache kuichafua serkali Ndugu zangu kwa manufaa ya kisiasa

Zile balozi za ulaya na USA sijui wataficha wapi sura zao
 
Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
3,499
2,000
Kawe Alumni hivi kwanini mnahangaika hivi?

Huu muda kuchokonoa haya yote si ungeutumia kufanya kitu cha kukuingizia kipato au kama umeridhika na ulivyonavyo hutaki ziada sio ungeutumia hata kusoma biblia au juzuu au kama navyo hutaki si hata ungetumia kusoma kitabu cha hadithi ukaongeza kitu kichwani?

Kwanini mnaigeuza hii kama ishu ya kitaifa, Kweli Taifa halina kabisa ishu za kudiskasi zaidi ya hii? Siku 2-3 za mwanzo zilishatosha hebu tuendelee na mangine basi jamani.

Wengine ambao hatuna vyama tunasikitika sana. Hili swala linaonesha chuki ilivyoanza kujikita moyoni mwa waTanzania aisee. Kama alianguka au alikanyagwa, imeshaisha hiyo. Si polisi na spika wameshasema alikuwa kalewa na alikuwa na mwanamke usiku wa manane, basi sasa ridhikeni tujadili ya maana basi. Hivi hata bajeti iliyotangazwa majuzi una muda wa kuichambua kama unavyochambua tukio la Mbowe kuanguka sijui kukanyagwa?

Na hawa madokta wetu wa siku hizi tabu sana. Bila amri ya mahakama unatoaje details za mgonjwa kiasi hiki? Hivi siku wahindi wale wa Apolo nao wakiamua wakatawanya madocuments ya kuumwa na kulazwa hadi gharama za spika alizotibiwa India itakuwa sawa kweli? Tuacheni siasa kwenye kila kitu.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
150,180

Kizazi kilichojaa chuki, wivu na sononi
 
Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,694
2,000
Mkuu mimi sina chuki na Mbowe personally namkubali ni mwanasiasa mzuri ila anamapungufu yake pia

Kilikuwa na ulazima gani kuichafua serkali ?
Kwanini asingetulia atibiwe kimya kimya ?

Kunywa pombe si dhambi sawa Kwanini watu wake waisingizie serkali ?
Kawe Alumni hivi kwanini mnahangaika hivi?

Huu muda kuchokonoa haya yote si ungeutumia kufanya kitu cha kukuingizia kipato au kama umeridhika na ulivyonavyo hutaki ziada sio ungeutumia hata kusoma biblia au juzuu au kama navyo hutaki si hata ungetumia kusoma kitabu cha hadithi ukaongeza kitu kichwani?

Kwanini mnaigeuza hii kama ishu ya kitaifa, Kweli Taifa halina kabisa ishu za kudiskasi zaidi ya hii? Siku 2-3 za mwanzo zilishatosha hebu tuendelee na mangine basi jamani.

Wengine ambao hatuna vyama tunasikitika sana. Hili swala linaonesha chuki ilivyoanza kujikita moyoni mwa waTanzania aisee. Kama alianguka au alikanyagwa, imeshaisha hiyo. Si polisi na spika wameshasema alikuwa kalewa na alikuwa na mwanamke usiku wa manane, basi sasa ridhikeni tujadili ya maana basi. Hivi hata bajeti iliyotangazwa majuzi una muda wa kuichambua kama unavyochambua tukio la Mbowe kuanguka sijui kukanyagwa?
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,491
2,000
Mbona hapo kwenye Clinical Indications panaenda kinyume na police report.

Was Mbowe assaulted and got hit or just fell kama mnavo hubiri?
Screenshot_20200613-125122.jpeg
 
Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,039
2,000
Kama wapo waliopotezwa na kutolewa majibu mepesi nn kinashangaza nw?na kwa kuwa hukuwah kuwa na fkra na hutowahi kuwa nazo bc jianda Kufa hvya maana ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Lakini uzushi una maana gani kwenye hili?
 
santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,254
2,000
Kawe Alumni hivi kwanini mnahangaika hivi?

Huu muda kuchokonoa haya yote si ungeutumia kufanya kitu cha kukuingizia kipato au kama umeridhika na ulivyonavyo hutaki ziada sio ungeutumia hata kusoma biblia au juzuu au kama navyo hutaki si hata ungetumia kusoma kitabu cha hadithi ukaongeza kitu kichwani?

Kwanini mnaigeuza hii kama ishu ya kitaifa, Kweli Taifa halina kabisa ishu za kudiskasi zaidi ya hii? Siku 2-3 za mwanzo zilishatosha hebu tuendelee na mangine basi jamani.

Wengine ambao hatuna vyama tunasikitika sana. Hili swala linaonesha chuki ilivyoanza kujikita moyoni mwa waTanzania aisee. Kama alianguka au alikanyagwa, imeshaisha hiyo. Si polisi na spika wameshasema alikuwa kalewa na alikuwa na mwanamke usiku wa manane, basi sasa ridhikeni tujadili ya maana basi. Hivi hata bajeti iliyotangazwa majuzi una muda wa kuichambua kama unavyochambua tukio la Mbowe kuanguka sijui kukanyagwa?

Na hawa madokta wetu wa siku hizi tabu sana. Bila amri ya mahakama unatoaje details za mgonjwa kiasi hiki? Hivi siku wahindi wale wa Apolo nao wakiamua wakatawanya madocuments ya kuumwa na kulazwa hadi gharama za spika alizotibiwa India itakuwa sawa kweli? Tuacheni siasa kwenye kila kitu.
Labda hii ndo kazi inayo mpatia kipato, mkuu! Kama ni kweli hiyo ni report ya daktari, labda kaiba au kahonga ili tu, ajipatie kipato! Na inawezekana ni; mwanaume, labda amesoma shule! Unaweza kuta ni kiongozi wetu!!😂😂. Mbunge? Waziri? RC, DC? 🔊?
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,491
2,000
Clinical indications zilichukua Maelezo ya mgonjwa
Unajua kuwa medical report sio kama polisi report? Kimsingi polisi walipaswa kufanya consultation kwa doctor(s) aliye muattend kabla ya kuja public.

Ile ni report ya kitaalam, kwenye impact assessment kuna tofauti ya mtu kushambuliwa na kuanguka mwenyewe.

Usidhani eti unaweza mwambia doctor umepigwa na jiwe wakati observation yake inaonesha umechomwa na kitu chenye makali naye akaandika kama unavyosema wewe.
 
ligend

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
359
1,000
inaweza ukawa unafurahisha watu lakini kumbe unajitengenezea moyo wenye chuki kwako na kizazi chako.
 
Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,694
2,000
You have idea lkn doctor anaweza kurubuniwa na mwanasiasa kwa manufaa ya mwanasiasa
Unajua kuwa medical report sio kama polisi report? Kimsingi polisi walipaswa kufanya consultation kwa doctor(s) aliye muattend kabla ya kuja public.

Ile ni report ya kitaalam, kwenye impact assessment kuna tofauti ya mtu kushambuliwa na kuanguka mwenyewe.

Usidhani eti unaweza mwambia doctor umepigwa na jiwe wakati observation yake inaonesha umechomwa na kitu chenye makali naye akaandika kama unavyosema wewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom