Soma kwa makini hii taarifa kuhusu shambulio la Mbowe

You have idea lkn doctor anaweza kurubuniwa na mwanasiasa kwa manufaa ya mwanasiasa
Hilo lawezekana lakini si rahisi kwa utawala huu ambao bwana mkubwa anaonesha chuki za wazi kwa wote wenye kuunga mkono wapinzani wake kisiasa.

Hata hivyo, bado kuna room ya more medical exams kufanyika hata kwa amri ya mahakama ikibidi.
 
Clinical indications zimetolewa na daktari hatuwezi kujua mgonjwa alimpangaje daktari
Niko hapa naamini madocument waliyojenga serikali ya CCM na ma-lunatics wake?

Tangu lini serikali ya ccm ikaaminika kwa chochote?

No one will believe anything this government says on anything!

Killers
 
Mlianza kwa kudanganya umma, acheni ukweli uwekwe wazi mjifunze kuwa na staara mkuu, hakukuwa na haja ya kusingizia serikali, inajenga chuki, wangeeeleza ukweli watu wangemtakia quick recovery yakaisha.
Nyie ndio mnaodanganya umma, muache ujinga.
 
Tusubiri
Hilo lawezekana lakini si rahisi kwa utawala huu ambao bwana mkubwa anaonesha chuki za wazi kwa wote wenye kuunga mkono wapinzani wake kisiasa.

Hata hivyo, bado kuna room ya more medical exams kufanyika hata kwa amri ya mahakama ikibidi.
 
Kuna vitu haviko sawa mahali...

Polisi Muroto alisema kavunjwa mguu
Spika kavunjwa mguu
Daktari akasema kavunjika

Juzi kafanyiwa Operesheni.

Leo hakuvunjika
 
Kuhusu pombe polisi ilishasema

1. Polisi Walimpima?

2. Au ripoti ya daktari imeonesha ulevi sehemu yoyote?

3. Kati ya polisi na daktari nani huthibitisha matatizo ya mgonjwa?

polisi? Kama ndio kwanini PF3 muhimu? Na nani huthibitisha ndani ya PF3
 
Mkuu kuna mkanganyiko mkubwa sana huu upotoshaji wa wanasiasa ni hatari
Kuna vitu haviko sawa mahali...

Polisi Muroto alisema kavunjwa mguu
Spika kavunjwa mguu
Daktari akasema kavunjika

Juzi kafanyiwa Operesheni.

Leo hakuvunjika
 
Wewe hii tabia ya uzushi utaacha lini?

Kwa siku mbili ilikuwa pombe

Leo sio pombe kama sio upumbavu nini
Wapi amesema sio pombe? hujui kilichoandikwa sema uelezewe, ripoti hapo inaonesha usanii wa hali ya juu wa watu wenu, mguu haujavunjika wala kuteguka, ni maumivu ya kawaida ya ankle aloyapata baada ya kuukanyagia vibaya sababu ya hali alokuwa nayo ya ulevi na si kingine.
 
Kwasasa zinatolewa taarfa chache tu zingine zitawekwa kiporo wanasiasa wakijaribu kudanganya
Mboga zinamwaga waaaaa

Back
Top Bottom