Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,216
- 25,598
Sisi kwetu walikusanywa wapishi (Kikundi cha Akinamama); nyama yote ya buchani; bidhaa mbalimbali za sokoni; canter mbili hadi wachinjaji wa mbuzi. Mwishoni, wote wakaachwa kwenye mataa zikiibwa simu tu za akinamama wote.Huu utapeli uko siku nyingi na una versions nyingi. Kuna mwingine kama huu huu lakini watu walichuliwa kuchimba kaburi.
Matapeli walivyokuwa washenzi, wakachukuwa na mama Ntilie na chakula chake kwenda kuwalisha, wakakodi na gari yaani walipoondoka waliacha kundi lwa watu limetapeliwa kila mmoja na bidhaa yake.
Nikipata muda nitaelezea ilivyokuwa japo sikumbuki vizuri sehemu nyingine.