Soma kimyakimya halafu uondoke

Soma kimyakimya halafu uondoke

asafaali mie hapo nimeona maandishi,sijui hata ni lugha gani
 
loading error.......................lolest
 
Japo mimi sitaki kusoma maandishi hayo, kwanza nauliza, hiyo T-Shirt atakuwa anaivaa kama night dress chumbani wake mkewe tu? Au ni la bafuni na chooni tu?
 
mkuu nilikuwa namjibu mtu wa kusema ishu ya condom kuhusisha na ishu ya fu..ck, umeelewa?

Na yeye kaongelea kondom kwa kutafsiri maana mojawapo ya neno hilo....na hata hizo maana zingine inaenda tu...lugha ya picha
 
Japo mimi sitaki kusoma maandishi hayo, kwanza nauliza, hiyo T-Shirt atakuwa anaivaa kama night dress chumbani wake mkewe tu? Au ni la bafuni na chooni tu?

Hapo ni mtaani mkuu
 
Back
Top Bottom