Soma kimyakimya halafu uondoke

Soma kimyakimya halafu uondoke

C'mon Jamii Photo members! The inscription on the t-shirt doesn't carry
literal meaning! Bulldog, you've raised so much commotion by insinuating
that the inscription on the t-shirt means what is written; which isn't
true!
The govt is f.u.c.k.ing me = The govt is making my life unbearable! that's all.
 
Kwani kuna tatizo kuweka hyo picha??
 
Kwani kuna tatizo kuweka hyo picha??
Picha haina shida hata kidogo Bulldog. Tatizo lipo kwenye tafsiri ya 'the gvt f.u.c.ks me.' Wengi, wewe ukiwa mmojawao wametafsiri 'serikali inanigegeda'. Sio sahihi.
 
Last edited by a moderator:

Usiwe serious sana na tafsiri, just pita kama sio funny sana.
 
Hahaha ndo maana namwona jamaa ka mjamzito hivi au? Aah tufanye sijasema.
 
Picha haina shida hata kidogo Bulldog. Tatizo lipo kwenye tafsiri ya 'the gvt f.u.c.ks me.' Wengi, wewe ukiwa mmojawao wametafsiri 'serikali inanigegeda'. Sio sahihi.

Naomba nimtetee Bulldog, nina amini ameleta picha hii kama joke tu, shida ni kwa wale ambao wamechukua tafsiri ya from english to kiswahili, tunatofautiana uwezo wa ku process 'humor signals', kuna watu wengine wanaweza kusikia joke leo wakacheka kesho, au hujawahi kutana nao mkuu? Ukimuuliza vipi anajibu ' nacheka vile ulivyosema jana.
 
Sasa nimekuelewa Lukansola.Kumbe picha aloleta Bulldog was solely for humour purposes! Kama hivyo ni sawa maana ni kweli inachekesha.Ila wengi walijikita katika tafsiri tena ya neno kwa neno na kuleta maana ambayo si ya kawaida.
 
BTW, JF is more of enjoying
 
Jamaa yamemfika shingoni ameona atoe ya moyoni!! Serikali BASHA!!!
 
Sasa nimekuelewa Lukansola.Kumbe picha aloleta Bulldog was solely for humour purposes! Kama hivyo ni sawa maana ni kweli inachekesha.Ila wengi walijikita katika tafsiri tena ya neno kwa neno na kuleta maana ambayo si ya kawaida.

Asante SHIEKA, Ila mkuu kwenye ngeli naona uko vizuri, I like that lol...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom