Soma hii SMS

Zanaki

JF-Expert Member
Sep 1, 2006
545
75
Below is an sms ambayo inasambazwa kwa wabunge wa CCM.Nimeipata kutoka kwa Mbunge ambaye ofcoz siwezi kumtaja hapa.Mkakati wa kwanza ni kumng'oa Makamba thru vote of no confidence...

"WAHESHIMIWA WABUNGE,BAADA YA KUMTOSA UKATIBU MKUU MAKAMBA TUINUSURU NCHI YETU KWA KUMTOSA JK.MAMLAKA YA KIKATIBA TUNAYO.MCHAKATO UANZE BUNGENI.SPIKA AMALIZIE KUIONGOZA NCHI HADI 2010.MZEE MALECELA SPIKA.WASWAHILI HAWA WARUDI NCHI NA CHAMA
VIMEWASHINDA.TUMA KWA WABUNGE 10"
 
Kule bungeni kuna makundi. Muulize huyo aliyekutumia, iweje ujumbe uandikwe hivi?

.
 
Wakati umefika kama CCM hawatachukua hatua kwa viongozi wao wasubiri wananchi watachukua hatua kwa kuwapa adhabu mafisadi.
 
Kuna siku nilisema hili linawezekana. sababu tunayo nia nadhani pia ipo na sms za bure zipo. kwanini tusicummunicate good strategies zinazoweza kuchange muelekeo wa taifa letu???

Old is Gold. Wazee walishafanya I dont know exactly how they arrived to that but it was good.

Sasa sisi wenye damu changa ichemkayo what are we going to do??? au tunatumia hizi free sms kusambaza funny message like
"Don't trust every Lady who says she loves cuz to women
l.o.v.e means
Legs Open Very Easily"
 
Wakati umefika kama CCM hawatachukua hatua kwa viongozi wao wasubiri wananchi watachukua hatua kwa kuwapa adhabu mafisadi.

Mimi naamini watanzania sio wajinga ,Hao mafisadi wanaweza kushughulikiwa na wananchi wenyewe wabongoo kwa jinsi ninavyo wajua sio mchezo ninoma
wata waadhibu wenyewe hawatangoja mahakama maana situnaona jinsi wanavyo jichukulia hatua wenyewe.:)

Mafisadi kazi mnayo sasa sijui mtakuwa hamtembei?
 
Below is an sms ambayo inasambazwa kwa wabunge wa CCM.Nimeipata kutoka kwa Mbunge ambaye ofcoz siwezi kumtaja hapa.Mkakati wa kwanza ni kumng'oa Makamba thru vote of no confidence...

"WAHESHIMIWA WABUNGE,BAADA YA KUMTOSA UKATIBU MKUU MAKAMBA TUINUSURU NCHI YETU KWA KUMTOSA JK.MAMLAKA YA KIKATIBA TUNAYO.MCHAKATO UANZE BUNGENI.SPIKA AMALIZIE KUIONGOZA NCHI HADI 2010.MZEE MALECELA SPIKA.WASWAHILI HAWA WARUDI NCHI NA CHAMA
VIMEWASHINDA.TUMA KWA WABUNGE 10"

Jamani hii sms ni ya kitapeli imeandaliwa na mafisadi kumuokoa Makamba na kuwachonganisha na JK wabunge wanaotaka kumuondoa Makamba na ambao wanapiga vita ufisadi. Hakuna kitu kama hicho cha kumuondoa JK at least kwa sasa labda kama ataendelea kuwabeba kina Makamba, Rostam, Manji, Lowassa na wengine maana uvumilivu una mwisho wake hata mmi kuna jambo binafsi nimevumilia na kuwa mjinga kwa miaka saba lakini sasa nimechoka
 
Hivi wabunge hawewezi kuwa kitu kimoja kupiga kura ya kuto kuwa na imani na rais?
Wanaweza kweli wabunge wetu kufanya hivyo?
 
Huu ndio MPASUKO tuliokuwa tunausubiri. Waache WATAFUNANE wao mkwa wao. Laana inawarudia!!!!
 
Below is an sms ambayo inasambazwa kwa wabunge wa CCM.Nimeipata kutoka kwa Mbunge ambaye ofcoz siwezi kumtaja hapa.Mkakati wa kwanza ni kumng'oa Makamba thru vote of no confidence...

"WAHESHIMIWA WABUNGE,BAADA YA KUMTOSA UKATIBU MKUU MAKAMBA TUINUSURU NCHI YETU KWA KUMTOSA JK.MAMLAKA YA KIKATIBA TUNAYO.MCHAKATO UANZE BUNGENI.SPIKA AMALIZIE KUIONGOZA NCHI HADI 2010.MZEE MALECELA SPIKA.WASWAHILI HAWA WARUDI NCHI NA CHAMA
VIMEWASHINDA.TUMA KWA WABUNGE 10"

Come on guys....This is a junk! Don't be deceived by stupid strategies!
 
Come on guys....This is a junk! Don't be deceived by stupid strategies!

Hata kama ni JUNK, hii ndiyo ilifanya watu wapigane kwenye vita vya majimaji. Wakati mwingine UONGO inabidi utumike ili mambo yaende. Kama hizi SMS zitaanza basi ni mwanzo mzuri. Hata kama si kweli basi walau wabunge wataona kuwa hili jambo linawezekana. Kikatiba wabunge wanaweza kumshtaki Muungwana na kumchukulia hatua na hata kumuondoa madarakani. Ukiangalia mambo mengi tu jamaa kashindwa kuyafanya.
NAshukuru Mungu kuwa Obama kashinda maana hizi safari za USA labda zikapungua. Watakaoweza kumwambia Obama aanze kumyima VIZA huyu Msanii wetu basi itakuwa mswano pia. Kweli Obama anaweza kusaidia Africa kwa mengi tu bila ya kutumia hata senti tano ya walipa kodi.
 
Come on guys....This is a junk! Don't be deceived by stupid strategies!

Call it whatever you like sir,lakini hii sms hata yeye JK mwenyewe kaipata,na kishapigia wabunge wengi tu simu akiwauliza sasa yeye afenyeje.
 
Below is an sms ambayo inasambazwa kwa wabunge wa CCM.Nimeipata kutoka kwa Mbunge ambaye ofcoz siwezi kumtaja hapa.Mkakati wa kwanza ni kumng'oa Makamba thru vote of no confidence...

"WAHESHIMIWA WABUNGE,BAADA YA KUMTOSA UKATIBU MKUU MAKAMBA TUINUSURU NCHI YETU KWA KUMTOSA JK.MAMLAKA YA KIKATIBA TUNAYO.MCHAKATO UANZE BUNGENI.SPIKA AMALIZIE KUIONGOZA NCHI HADI 2010.MZEE MALECELA SPIKA.WASWAHILI HAWA WARUDI NCHI NA CHAMA
VIMEWASHINDA.TUMA KWA WABUNGE 10"

Hakuna kitu hapa, mazingaombwe ya mtu haya. Nani CCM ana ubavu wa kusambaza hiyo message?????
 
Hiyo SMS imekaa kijokes, nashangaa kwanini bandiko hili bado lipo kona hii!
 
Haya Kubenea aliwataarifu CCM mapema wenyewe wakapambana na gazeti lisilo na kosa. Ona sasa sijui watamfungia nani. Huo ni ushahidi mwingine wa mkakati wa JK kung'olewa madarakani. Wahusika wakuu si wengine bali mafisadi kama tunavyowajua wanaJF
 
Poleni sana na ndoto za alinacha.Huu ni mojawapo ya ujinga katika jamii.Ukitaka kumn'goa JK kwa kutumia wabunge wa CCM huna haya ya startegy ya kijinga namna hiyo....Haya mengine ni mawazo ya "Tufanyeje"tafuteni mbinu mbadala.CCM haitaweza kufanya hivyo kwa kupitia wabunge wake.
 
Najua vitu vingi hapa JF huwa vinaanza kama jokes na watu wanakuwa wagumu kuviamini. Sms kama hiyo zimeshatumwa nyingi tu, sio kwa wabunge tu, bali kwa wapinzani wa serikali na watanzania wote kwa ujumla. Tatizo ni "who will bell the cat". Hapo ndio tunashindwa wengi. Inawezekana huu ni mkakati mzuri tu wa wabunge wa CCM, lakini utekelezaji ukawa mgumu. Cha msingi ni kwamba kila jambo huwa lina mwanzo wake na mwisho wake. Lets hope and wait. Hata USA wamepata the first African-American president. Time will tell!
 
Call it whatever you like sir,lakini hii sms hata yeye JK mwenyewe kaipata,na kishapigia wabunge wengi tu simu akiwauliza sasa yeye afenyeje.

jamani hoja hapa si kwamba SMS haipo, ipo kama unavyosema hata JK anayo si ajabu, lakini hoja hapa ni kwamba hiyo sms imetungwa kumuokoa Makamba wakati tunavyozungumza wako katika kikao na kinawaka moto mjini Dodoma
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom