Soma hii kwa tafakuri

Soma hii kwa tafakuri

Pamoja na yoooote hayo lazima tukubali kwamba KWA KWELI sisi Waafrika tuna roho mbaya, ni wanafiki, na tunajipenda sisi tu na wanafamilia au wanaukoo wa karibu au watu wa kabila au eneo letu tu. Kumpata Mwafrika kama Nyerere au Mandela leo hii hapa Afrika ni SHIIIIDA !! Na sioni mabadiliko yoyote mema huko mbeleni. Viongozi wanataka waendelee kutawala wao tu na wale wanaowalamba miguu. Hawataki kushirikisha wananchi wengine. Ndio maana nchi nyingi Afrika ni fujo tu. Tanzania tuna bahati- lakini kwa jinsi tunavyoenda sasa hivi sio miaka mingi itapita na sisi tutatumbukia mumo humo KAMA HATUJAKUBALI KUBADILIKA. Tusubiri
 
Write your reply...
ukikuta haya mavitabu tuliyolishwa o level eti binadamu wa kwanza kuona sijui ziwa victoria! eti ni david livingstone sijui!
nimekuja kugundua tunalishwa matangopori mengi mashuleni kwetu
 
Mmh kinasemaje?

Mada inaonyesha ya kuwa unawazindua waafrika juu ya kujihisi kwao kuwa ni wadhaifu dhidi ya wazungu,wakati kuna watu ambao umewataja wamefanya makubwa na wana historia kubwa sana katika ulimwengu huu kama vile viongozi,wanamuziki wanamichezo na wana Sayansi ?

Kwamba unatutaka tufikirie hiki huku utionyesha ya kuwa pia na sisi tuna watu,sasa hoja yangu ya msingi vipi tujione imara na wenye nguvu kupitia mambo ya kipuuzi na kupumbaza watu na kuzidi kuwa wajinga ?

Nikakuuliza vipi una uhakika juu ya habari ya Mansa Musa ndio tajiri mkubwa katika historia ya Dunia ? Vipi kuhusu Suleyman ?

Ukagusia kuhusu pia mwana Sayansi aliyeshiriki pakubwa katika suala la safari ya mwezini au kama ulivyo nukuu ? Nika hoji je una uhakika ya kuwa kuna mtu au kifaa kilifika mwezini ?

Bila shaka tumeelewana.
 
Sawa kabisa tumeelewana vizuri kabisa... Naomba niseme sina comment kwenye hili kwakuwa.. Nimeichukua kama ilivyo na kuibwaga hapa... Si maandishi yangu kwa maana ya utunzi bali ni yangu kwa maana ya kunakili toka chanzo Kingine
 
Bro hii issue imekuwa Ni debate ambayo haiwezi kuisha kamwe kwani hata hao walio soma pia na kufika vidato vya juu wengi wao wamegeuka kuwa watuma kwa whites baada ya kutengenezewa mfumo ambao huwezi ona kwa tafakuri za ndotoni

Kuna muda huwa naonaga mtu ukipata maarafa na ukayaamini kuwa ni bora kwa maisha yako maana ukweli unaoujua ww ni ngumu Sana kumuaminisha mtu mwengine kuwa amini kuwa blacks are superior than those white unaweza pigwa hata mawe

By Regnard Copland who was the professor from Oxford University

"The African living in the Sahara desert and Limpopo river had no history"

By Geogre Hegel

"Africa is not a historical continent it show neither changes nor development"

By Newton 1939 the schoolar who develop the theory of No history in African before the coming of Europeans he hold that "history began when man take to writings " he also try to refuse the existence of independent history of Africa basing on the idea that Africa had no ability to write"

By Roper 1960 "perhaps in the future there will be some African history to teach but present there was only darkness and due to this darkness is not the subject matter of history"

Hebu tazama huu ni mfano wa baadhi ya mawazo yao juu ya bara la Africa kipindi hicho when they are interested in writing about the history of Africa
 
Nitembee kifua mbele kwa jinga lilokuwa linagawa dhaabu kuanzia Mali mpaka makka mpaka Dhahabu ikashuka thamani lkn Mali bado nchi maskini manka Musa alikuwa mjinga so utajiri ukwapi sasa maafrika mengine yamepata mafanikio kwa msaada was wazungu walio gundua na kupromote hiyo michezo lasivyo wangekuwa mabingwa was kula mbakishie baba na kombolela
 
Una uhakika na hii habari kaka mkubwa ?

Unakubali kwamba ni kweli kuna mtu alifika mwezini au kifaa chochote kilifika nwezini ?

Kujivunia ujinga kwenye ujinga ni matumizi mabaya ya akili.

Hivi vina athari kubwa sana tena hasi katika akili ya mwanadamu,vipi tunajifaragua kwavyo ?

Kutaalimika au kuelimika si kuwa na shahada nyinyi idadi kwa ma idadi,elimu ni ile uliyo kuwa nayo kifuani na kuetendea kazi kwayo.

Hapa wengine watasemea tu,ila kwa dokezo ni kuwa uhuru bila mipaka ni utumwa wa kujitakia.

Tuko pamoja kaka na heshima kwako kwa kutuletea mada nyepesi kwa anuani yake ila ni nzito kielimu na kwa mizani ya afya za akili zetu.

Nipo ......

Shemeji katika ubora wako
 
hivi Ngabu kuna wakati wowote hapa JF nilishawahi kusema mimi ni mchawi au ni cheo tu nimepewa? ... Maana hata ndugu yangu kiherehere kaniita hivyo kwenye ule uzi wako

Kusema ukweli mimi sijawahi kuona umesema popote pale. Huwa naona watu tu wakikuhusisha na hayo mambo.

Mimi hapo nimetania tu. Kama nimekukwaza basi niwie radhi.

Ila jua ni utani tu huo.
 
Waarabu na Wachina hakutawaliwa na wazungu lakini wana maendeleo .

Tulianza kutoka kwenye sana za mawe kwenda zama za vyuma kabla ya mzungu.

Mzungu alituzidi baada ya kugundua bunduki tu.
🤣🤣 mchina alitawaliwa na ufaransa na uingereza. Waarabu walitawaliwa na Uingereza pia. Bunduki mwanzo ilitengenezwa na mchina lakini mzungu anaboresha. Ndio maana hata dini zimeanzia middle east lakini mzungu kaboresha kwa missionary🤣. Aiseee acha nimalize bangi yangu kwanza

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Bro hii issue imekuwa Ni debate ambayo haiwezi kuisha kamwe kwani hata hao walio soma pia na kufika vidato vya juu wengi wao wamegeuka kuwa watuma kwa whites baada ya kutengenezewa mfumo ambao huwezi ona kwa tafakuri za ndotoni

Kuna muda huwa naonaga mtu ukipata maarafa na ukayaamini kuwa ni bora kwa maisha yako maana ukweli unaoujua ww ni ngumu Sana kumuaminisha mtu mwengine kuwa amini kuwa blacks are superior than those white unaweza pigwa hata mawe

By Regnard Copland who was the professor from Oxford University

"The African living in the Sahara desert and Limpopo river had no history"

By Geogre Hegel

"Africa is not a historical continent it show neither changes nor development"

By Newton 1939 the schoolar who develop the theory of No history in African before the coming of Europeans he hold that "history began when man take to writings " he also try to refuse the existence of independent history of Africa basing on the idea that Africa had no ability to write"

By Roper 1960 "perhaps in the future there will be some African history to teach but present there was only darkness and due to this darkness is not the subject matter of history"

Hebu tazama huu ni mfano wa baadhi ya mawazo yao juu ya bara la Africa kipindi hicho when they are interested in writing about the history of Africa
Faru wa dhahabu kutoka Mapungubwe Limpopo civilization
270px-UP_rhino.jpg

1500 yrs old
 
Kusema ukweli mimi sijawahi kuona umesema popote pale. Huwa naona watu tu wakikuhusisha na hayo mambo.

Mimi hapo nimetania tu. Kama nimekukwaza basi niwie radhi.

Ila jua ni utani tu huo.
Hapana siwezi kukwazika never.... Pengine ni kwa vile nautetea sana uchawi ushirikina na mambo ya giza
 
Stop thinking white people are superior than us. Black people are the most superior in this world. Start discovering the superiority in you & stop undermining yourself

Hiki kipengele ndipo msingi wa mada yako ulipo mili.

Kwamba waafrika wasifikirie kwamba watu weupe ni imara zaidi kuliko wao kupitia mifano uliyoitoa hapo juu.

Hapa nahitimisha ya kuwa upo sahihi kimaana ila hauko sahihi kiuhalisia.

Je unaweza kujifaragua kwa mambo ya kipuuzi ?

Au kama labda uwe una tuenjoy hapo sawa.
 
Back
Top Bottom