Soma hii kwa tafakuri

Soma hii kwa tafakuri

The richest person in the history of earth was Mansa Musa from Mali (Black).
.
The greatest pop singer was Michael Jackson(Black).
.
The greatest footballer was Pele (Black).
.
The greatest boxer was Mahumed Ali (Black).
.
The greatest and richest golfer is Tiger Woods(Black).
.
Greatest female tennis player is Serena Williams (Black).
.
Greatest hip hop artist was 2Pac (Black).
.
Greatest philosopher was Malcom X and Martin Luther King Jr (Black).
.
The greatest Reggae artist was Bob Marley(Black).
.
Most educated president is Robert Mugabe(Black).

.The greatest President in the world Nelson Madela (black)

. The Man who directed very successfully the USA Space shuttle to moon was called "Arineitwe" a Ugandan born {mukiga} & (Black)
.
Stop thinking white people are superior than us. Black people are the most superior in this world. Start discovering the superiority in you & stop undermining yourself.

Greatest IQ....Kiranga [black].

😃
 
Waarabu na Wachina hakutawaliwa na wazungu lakini wana maendeleo .

Tulianza kutoka kwenye sana za mawe kwenda zama za vyuma kabla ya mzungu.

Mzungu alituzidi baada ya kugundua bunduki tu.
Na lait Mzunge angebaki na Bunduki yake huko huko.... Tulishampiga bao... Kosa ni pale alipoileta Bunduki Africa
 
Hapo kwenye greatest philosopher Malcom x na Martin Luther nahisi umetuingiza chaka boss.
 
The richest person in the history of earth was Mansa Musa from Mali (Black).
.
The greatest pop singer was Michael Jackson(Black).
.
The greatest footballer was Pele (Black).
.
The greatest boxer was Mahumed Ali (Black).
.
The greatest and richest golfer is Tiger Woods(Black).
.
Greatest female tennis player is Serena Williams (Black).
.
Greatest hip hop artist was 2Pac (Black).
.
Greatest philosopher was Malcom X and Martin Luther King Jr (Black).
.
The greatest Reggae artist was Bob Marley(Black).
.
Most educated president is Robert Mugabe(Black).

.The greatest President in the world Nelson Madela (black)

. The Man who directed very successfully the USA Space shuttle to moon was called "Arineitwe" a Ugandan born {mukiga} & (Black)
.
Stop thinking white people are superior than us. Black people are the most superior in this world. Start discovering the superiority in you & stop undermining yourself.
Ongeza pia mtu wa kale hapo oldvai gorge Arusha tu hapo
Nina wasiwasi kama haya yatatusaidia hata tukijua mkuu
Tunanunuliwa kiurahisi mno. Hili ndilo tatizo letu kubwa.
Rejea chifu Mangungo na mikataba yake
Vitu watu wanapewa wakati wa kura-Kama kanga,chumvi(sukari haitolewi ni gharama)
Tutaishia tu hivyo
 
Wewe ndio ungekuwa baboon,huilewi vizuri history ya Afrika.Msikilize MTU anaeitwa DR.JOAKIM JOcKANAN an American etheopean.lecture yake inaitwa "Work up African". Kuna madini ya hatari ila kama umekuwa brainwashed na ukirsto usiisikilize maana utajiona mjinga.
Naweza pata angalau PDF yake ? Nidownload
 
Alaf kuna watu wanamlinganisha Michael Jackson na Diamond
Nilishasema nilikuwa napima upepo....mbona wagumu kuelewa. Namjua Michael Jackson kuliko wewe. Na simjui Dimond kuliko wewe. Sio kila topic humu ina uhalisia.

Juzi kati kuna jamaa aliweka chumba chake kipo rafu na vitu vilivyomo humo ni chakavu kabisa. Akasema aongeze nini ili aowe. Alikuwa serious?
 
Historian ya ukweli inaonesha Sokreti alikuja Afrika kujifunza falsafa ndio akaenda kupeleka enlightment Ugiriki.Alexandra alichoma vitabu vingi alipoteka misri na kupoteza historia ya muafrika na kubadili kila kitu ili muafrika awe dhalili, na kweli muafrika amekubali kuwa mtumwa na hata kusema bila mzungu muafrika angekuwa nyani,ni ujinga na kukosa maarifa na kusoma vitabu vya ukweli,mfano ukisoma kitabu cha Walter Rodney utajua mengi ambayo hayamo kwenye historian ya kubumbwa iliopo mashuleni ambayo haina lolote la maana zaidi ya kutudhalilisha waafrika.
Wasomi wa kiafrika hawajathubutu kufikiri nje ya fikra za magharibi hata mtaala tu kuubomoa na kuuweka katika uhalisia wanaogopa.
 
Wewe ndio ungekuwa baboon,huilewi vizuri history ya Afrika.Msikilize MTU anaeitwa DR.JOAKIM JOcKANAN an American etheopean.lecture yake inaitwa "Work up African". Kuna madini ya hatari ila kama umekuwa brainwashed na ukirsto usiisikilize maana utajiona mjinga.

Huwezi kutupa hata dondoo kidogo zile za juu juu ?
 
Historian ya ukweli inaonesha Sokreti alikuja Afrika kujifunza falsafa ndio akaenda kupeleka enlightment Ugiriki.

Japokuwa siamini katika Falsafa,ila hizi habari nimewahi kuzisikia,tatizo huwa linakuja katika kuzithibitisha kwamna ni kweli au la !

Naomba unisaidie jambo moja kaka mkubwa,unaweza kunihakikishia hili jambo kwamba ni kweli,ili hata sisi tukija kuwarithisha watoto zetu tuwe na mashiko thabiti,maana si unajua Elimu ni kurithishana ?
 
Naweza pata angalau PDF yake ? Nidownload
Nenda you tube andika work up African byben yosef jochannon.vilevile kuna john bordon,imhotep,Ben yosef jochannon etc.pale juu nimekosea sea joakim bal Ben yosef jochannon.
 
Japokuwa siamini katika Falsafa,ila hizi habari nimewahi kuzisikia,tatizo huwa linakuja katika kuzithibitisha kwamna ni kweli au la !

Naomba unisaidie jambo moja kaka mkubwa,unaweza kunihakikishia hili jambo kwamba ni kweli,ili hata sisi tukija kuwarithisha watoto zetu tuwe na mashiko thabiti,maana si unajua Elimu ni kurithishana ?
Nikitulia ntakupa source.Wenzetu black america wamejiongezs na wanajua mambo mengi kiliko hats sisi waafrika,sisi tumelala sana hututaki kusoma na kutafiti,wenzetu wanatembelea nchi nyingi sana za Afrika na wamepata mwanga mpya na kuna wasomi wengi wa kiamerika wameeleza haya mambo kinagaubaga.
 
The greatest Tanzanian Mwalimu mwenzangu, The late Julius Kambarage Nyerere, am proud of him ever with his allies Sokoine, Kawawa.

Heshima kwako Mzee Said wa JF(utani)
 
Una uhakika na hii habari kaka mkubwa ?

Unakubali kwamba ni kweli kuna mtu alifika mwezini au kifaa chochote kilifika nwezini ?

Kujivunia ujinga kwenye ujinga ni matumizi mabaya ya akili.

Hivi vina athari kubwa sana tena hasi katika akili ya mwanadamu,vipi tunajifaragua kwavyo ?

Kutaalimika au kuelimika si kuwa na shahada nyinyi idadi kwa ma idadi,elimu ni ile uliyo kuwa nayo kifuani na kuetendea kazi kwayo.

Hapa wengine watasemea tu,ila kwa dokezo ni kuwa uhuru bila mipaka ni utumwa wa kujitakia.

Tuko pamoja kaka na heshima kwako kwa kutuletea mada nyepesi kwa anuani yake ila ni nzito kielimu na kwa mizani ya afya za akili zetu.

Nipo ......
asante sana Zurri leo kidogo umepotoka umeona kichwa cha habari kinasemaje lakini?
Mmh mbona imehaririwa?... Original hii hapa
The richest person in the history of earth was Mansa Musa from Mali (Black).
.
The greatest pop singer was Michael Jackson(Black).
.
The greatest footballer was Pele (Black).
.
The greatest boxer was Mahumed Ali (Black).
.
The greatest and richest golfer is Tiger Woods(Black).
.
Greatest female tennis player is Serena Williams (Black).
.
Greatest hip hop artist was 2Pac (Black).
.
Greatest philosopher was Malcom X and Martin Luther King Jr (Black).
.
The greatest Reggae artist was Bob Marley(Black).
.
Most educated president is Robert Mugabe(Black).

.The greatest President in the world Nelson Madela (black)

. The Man who directed very successfully the USA Space shuttle to moon was called "Arineitwe" a Ugandan born {mukiga} & (Black)
.
Stop thinking white people are superior than us. Black people are the most superior in this world. Start discovering the superiority in you & stop undermining yourself
 
Katika pita pita zangu kuna mahala nilisoma kuwa katika jopo la wale waliounda Bomu la nyuklia la hiroshima alikuwepo muafrika mmoja(physist) alishiriki uundaji wa Bomu lile lakini haya mambo huwezi yasikia ktk mainstream media. Waafrka hutuna muunganiko wa kutambuana kama wachina na wahindi.Hii inamaanisha teknolojia ya nyuklia ilifunguka kwa waafrika tangu zamani lakini Afrika hainna hio teknolojia mpaka leo.Hii inamaanisha waafrika waliijua Hii tech kabla ya wahindi,wachina nk."work up African"by Ben yosef jochannon.
 
Hapo kwenye greatest philosopher Malcom x na Martin Luther nahisi umetuingiza chaka boss.
Ukweli ni upi? Tuwe watu wa kutafiti na si kupokea kila kitu kama kilivyo... Tunahitaji kujifunza na kuongeza maarifa
 
Back
Top Bottom