Soma hii kwa tafakuri

Soma hii kwa tafakuri

Kuna siku nilikuta Mwarabu mmoja akijitapa kuwa yeye ndio kaja kufundisha Waafrika kuhusu tohara za Kiume
Nikamsikiliza kwa makini huku akisema kuwa Dini ya kiislamu ndio iliyokuja na kuwatahiri wenyeji
Nikamwambia vipi kuhusu Masai?!..akajaribu kutafuta sababu lakini alichemsha palepale

Nikamwambia jini bado liko kwenye chupa angalia usifungue kizibo

Akaniaga haraka haraka na kutikomea huko Tandika.
Point yangu ni Waafrika ndio waanzilishi ila maboresho watafanya wengine
 
SO WHAT? UJINGA ULE ULE WA KILA SIKU. WALIKUWA WEUSI. HOW DID THIS HELP BLACK PEOPLE OR AFRICA? THE POOREST PEOPLE ARE IN AFRICA.

Fanyeni kazi ndugu zanguni. Haya mnayohangaika nayo hayawasaidii kitu. Yamekuwepo all that time na bado africa haijaendelea inategemea wazungu kwa kila kitu. Hao unaowataja wanafaidika na kuendelea kufaidisha wazungu.

Nambie hao wamedasaidiaje weusi wenzao.na asili yao inaishije? Hao wote wamefaidika na mfumo wa wazungu.wanamuziki na hata wana michezo.wangekuwa afrika pengine wasingefika huko waliko. Haya wamefika kuna faida gani kwa waafrika/weusi?

Nasisitiza fanyeni kazi na si kujivunia rangi ambayo haijawahi wasaidia kitu mpaka leo hii.

The richest person in the history of earth was Mansa Musa from Mali (Black).
.
The greatest pop singer was Michael Jackson(Black).
.
The greatest footballer was Pele (Black).
.
The greatest boxer was Mahumed Ali (Black).
.
The greatest and richest golfer is Tiger Woods(Black).
.
Greatest female tennis player is Serena Williams (Black).
.
Greatest hip hop artist was 2Pac (Black).
.
Greatest philosopher was Malcom X and Martin Luther King Jr (Black).
.
The greatest Reggae artist was Bob Marley(Black).
.
Most educated president is Robert Mugabe(Black).

.The greatest President in the world Nelson Madela (black)

. The Man who directed very successfully the USA Space shuttle to moon was called "Arineitwe" a Ugandan born {mukiga} & (Black)
.
Stop thinking white people are superior than us. Black people are the most superior in this world. Start discovering the superiority in you & stop undermining yourself.
 
Hapana kaka maendeleo na ustaarabu wa kwanza kabisa vilianzia Africa.. Halafu walipokuja hawa ngozi ya kitimoto wakachakachua
Hahaha walipoondoka mgeendeleza hayo maendeleo na ustaarabu, au waliondoka na akili zetu?! Maana hawapo zaidi ya miaka 55 sasa bado hatuendelei na ustaatabu hatuna.
 
Hahaha walipoondoka mgeendeleza hayo maendeleo na ustaarabu, au waliondoka na akili zetu?! Maana hawapi zaidi ya miaka 55 sasa bado hatuendelei na ustaatabu hatuna.

Jr
 
The richest person in the history of earth was Mansa Musa from Mali (Black).
.
The greatest pop singer was Michael Jackson(Black).
.
The greatest footballer was Pele (Black).
.
The greatest boxer was Mahumed Ali (Black).
.
The greatest and richest golfer is Tiger Woods(Black).
.
Greatest female tennis player is Serena Williams (Black).
.
Greatest hip hop artist was 2Pac (Black).
.
Greatest philosopher was Malcom X and Martin Luther King Jr (Black).
.
The greatest Reggae artist was Bob Marley(Black).
.
Most educated president is Robert Mugabe(Black).

.The greatest President in the world Nelson Madela (black)

. The Man who directed very successfully the USA Space shuttle to moon was called "Arineitwe" a Ugandan born {mukiga} & (Black)
.
Stop thinking white people are superior than us. Black people are the most superior in this world. Start discovering the superiority in you & stop undermining yourself.

Then what has it got to do with the prevailing world progress and developments???.

The names mentioned are mainly those of actvists, artists and nationalists rather than scientists, indeed they (activists) did greatly to emancipate humanity from the world tyranical crutches but scientists turned this world the way we see it to day in terms of material harnessing and management.
 
Fake list. I don't see jpm
The richest person in the history of earth was Mansa Musa from Mali (Black).
.
The greatest pop singer was Michael Jackson(Black).
.
The greatest footballer was Pele (Black).
.
The greatest boxer was Mahumed Ali (Black).
.
The greatest and richest golfer is Tiger Woods(Black).
.
Greatest female tennis player is Serena Williams (Black).
.
Greatest hip hop artist was 2Pac (Black).
.
Greatest philosopher was Malcom X and Martin Luther King Jr (Black).
.
The greatest Reggae artist was Bob Marley(Black).
.
Most educated president is Robert Mugabe(Black).

.The greatest President in the world Nelson Madela (black)

. The Man who directed very successfully the USA Space shuttle to moon was called "Arineitwe" a Ugandan born {mukiga} & (Black)
.
Stop thinking white people are superior than us. Black people are the most superior in this world. Start discovering the superiority in you & stop undermining yourself.
 
Mkuu mshana Jr kwa heshima ya Uzi wako naomba niweke picha hizi japo umemsahua usain bolt binadamu mweusi mwenye kasi ya ajabu
 
The richest person in the history of earth was Mansa Musa from Mali (Black).
.
The greatest pop singer was Michael Jackson(Black).
.
The greatest footballer was Pele (Black).
.
The greatest boxer was Mahumed Ali (Black).
.
The greatest and richest golfer is Tiger Woods(Black).
.
Greatest female tennis player is Serena Williams (Black).
.
Greatest hip hop artist was 2Pac (Black).
.
Greatest philosopher was Malcom X and Martin Luther King Jr (Black).
.
The greatest Reggae artist was Bob Marley(Black).
.
Most educated president is Robert Mugabe(Black).

.The greatest President in the world Nelson Madela (black)

. The Man who directed very successfully the USA Space shuttle to moon was called "Arineitwe" a Ugandan born {mukiga} & (Black)
.
Stop thinking white people are superior than us. Black people are the most superior in this world. Start discovering the superiority in you & stop undermining yourself.

Tatizo ni kuwa kwa kila Mandela mmoja kuna kina jiwe 50. Na kwa kuwa kubomoa ni rahisi kuliko kujenga, hao kina jiwe 50 wanaharibu kila kizuri kilichojengwa na kina Mandela wachache.
 
Shukrani
FB_IMG_1562609155212.jpeg
FB_IMG_1562609029491.jpeg
FB_IMG_1562608992550.jpeg
FB_IMG_1562608945347.jpeg
FB_IMG_1562608865977.jpeg
FB_IMG_1562608601361.jpeg
FB_IMG_1562608279090.jpeg
FB_IMG_1562608202041.jpeg
FB_IMG_1562608087614.jpeg
FB_IMG_1562608035449.jpeg
FB_IMG_1562607887803.jpeg
 
Toka tumeanza kujifariji hakuna badiliko lolote tulilofanya ata hapa hii mada tutaiacha hivi hivi baada ya miaka 3 Mungu akijalia uzima wetu na JF tutaisoma tena tukiwa hivi hivi tulivyo sasa.Itoshe tu kusema kua tatizo letu sio rangi bali akili.Akili yetu iko kwenye usingizi wa pono ndo maana wanaopata msaada wa wazungu kama uliowaorodhesha hapo ndio wamekua kama mfano ila hakuna ata mmoja aliyepambana akafikia ayo mafanikio bila mzungu kuhusika au bila kuishi uko kwa hao wazungu.Ndo maana ni rahisi kuona timu ya taifa ya mpira wa miguu ya ufaransa iliyochukua ubingwa wa dunia ikiwa imesheheni wachezaji weusi lakini ukiwachukua ile timu kwajinsi ilivyo ukaileta nchi mojawapo afrika ikawa ndo timu ya taifa haitaweza kufanya maajabu yoyote kwasababu watakutana na ubabaishaji halisi wakiafrika.Kufikiria kwetu kuna mushkeli ndo maana unaona tuna vipaji ila tunashindwa kuviendeleza, tuna mazingira mazuri ata kuyatunza hatuwezi,tuna rasilimali kibao ila kuzisimamia hatuwezi hadi muzungu aje atusaidie na tukisema tufanye wenyewe lazima tuishie kuuana kishenzi kwa silaha ambazo ametuletea mzungu.Nadhani hili giza la afrka litaondoka kwenye mwaka 5000 uko.
 
Sawa kabisa tumeelewana vizuri kabisa... Naomba niseme sina comment kwenye hili kwakuwa.. Nimeichukua kama ilivyo na kuibwaga hapa... Si maandishi yangu kwa maana ya utunzi bali ni yangu kwa maana ya kunakili toka chanzo Kingine

Tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom