Hapana kaka maendeleo na ustaarabu wa kwanza kabisa vilianzia Africa.. Halafu walipokuja hawa ngozi ya kitimoto wakachakachuaTuseme ukweli tu mkuu, bila mzungu kututawala bado tungekuwa tunaishi kama baboons, tembea kifua mbele mkuu
Waarabu na Wachina hakutawaliwa na wazungu lakini wana maendeleo .Tuseme ukweli tu mkuu, bila mzungu kututawala bado tungekuwa tunaishi kama baboons, tembea kifua mbele mkuu
Mkuu hapo ukiangalia kwa haraka utasema huyo mansa musa alikuwa tajiri lakini hiyo dhahabu alikuwa anauza kwa wazungu, sisi hata almasi tulikuwa tunachezea bao, hao wengine woooote walipata umaarufu baada ya kutawaliwa na kuelimishwa na wazungublack people never die, when die never decay, when decay never smell, when smell they smell perfume/nice
Usisahau hata Ethiopia haikutawaliwa lakini iko wapiWaarabu na Wachina hakutawaliwa na wazungu lakini wana maendeleo .
Tulianza kutoka kwenye sana za mawe kwenda zama za vyuma kabla ya mzungu.
Mzungu alituzidi baada ya kugundua bunduki tu.
Mkuu mwarabu alitawaliwa na mkoloni soma vizuri history mpaka ikatokea israelWaarabu na Wachina hakutawaliwa na wazungu lakini wana maendeleo .
Tulianza kutoka kwenye sana za mawe kwenda zama za vyuma kabla ya mzungu.
Mzungu alituzidi baada ya kugundua bunduki tu.
Ninafahamu kuwa Alexander The Great alieneneza himaya yake katia ghuba ya Ajemi na alipigwa vibaya IndiaMkuu mwarabu alitawaliwa na mkoloni soma vizuri history mpaka ikatokea israel
Mkuu ukitaka kuilewa vizuri historia ya china soma vizuri habari za ukuta wa china, Hong Kong, Taiwan, Tibet, n.k.Waarabu na Wachina hakutawaliwa na wazungu lakini wana maendeleo .
Tulianza kutoka kwenye sana za mawe kwenda zama za vyuma kabla ya mzungu.
Mzungu alituzidi baada ya kugundua bunduki tu.
Wewe ndio ungekuwa baboon,huilewi vizuri history ya Afrika.Msikilize MTU anaeitwa DR.BEN YOSEF JOCHANNON an American etheopean.lecture yake inaitwa "Work up African". Kuna madini ya hatari ila kama umekuwa brainwashed na ukirsto usiisikilize maana utajiona mjinga.Bila kusahau manabii wote walikuwa black tatizo walitua kwenye mentality kwamba ukitaka kuwaza vizuri lazima uwaze kama mzungu
The richest person in the history of earth was Mansa Musa from Mali (Black).
.
The Man who directed very successfully the USA Space shuttle to moon was called "Arineitwe" a Ugandan born {mukiga} & (Black)
.
The greatest pop singer was Michael Jackson(Black).
.
The greatest footballer was Pele (Black).
.
The greatest boxer was Mahumed Ali (Black).
.
The greatest and richest golfer is Tiger Woods(Black).
.
Greatest female tennis player is Serena Williams (Black).
.
Greatest hip hop artist was 2Pac (Black).
.
Greatest philosopher was Malcom X and Martin Luther King Jr (Black).
.
The greatest Reggae artist was Bob Marley(Black)
Most educated president is Robert Mugabe(Black).
The greatest President in the world Nelson Madela (black)
ongeza na Liberia mkuu haikutawaliwa, lakini wapiUsisahau hata Ethiopia haikutawaliwa lakini iko wapi