Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

Mkuu binti ambaye hujamuona tena umeikosea adabu familia kwa kumzalisha binti yao una kauli nae wazazi wakitaka kumchukua binti yao hospital. Naomba comment yangu usijibu kiushabiki.
nope kuna situation ikifika .... inahitaji ushirikiano na kuonyesha ubinaadamu....haiwezekani wazazi wangu wamtunze mtoto wenu ..kisha mje mumchukue tu mtoto wenu bila ya kuonana hata na wazazi wangu as if wao walikuwa ni watu baki.....kama binti angekufa mikononi mwao hao wazazi wake wasingefika kwa wazazi wa mtoa mada ?
 
😃😃kama wanalijua hilo basi hawakupaswa kumsusia binti na kumuambia akamchukue ...so kama hiyo ndio logic kuwa hajamuoa ..so walimpa akakae nae akiwa kama nani ?
Soma vizuri story yake hana maelewano mazuri na hiyo familia na naamini sababu ni kuishi na binti yao bila ndoa kujitambulisha sio sababu maana wanaume wengi sikuizi imekuwa fashion kwenu laiti kama angekuwa yuko vizuri na hiyo familia wasingemlazimisha bibie kuondoka nae hospital
 
nope kuna situation ikifika .... inahitaji ushirikiano na kuonyesha ubinaadamu....haiwezekani wazazi wangu wamtunze mtoto wenu ..kisha mje mumchukue tu mtoto wenu bila ya kuonana hata na wazazi wangu as if wao walikuwa ni watu baki.....kama binti angekufa mikononi mwao hao wazazi wake wasingefika kwa wazazi wa mtoa mada ?
Hapo wamefanya kosa walitakiwa kufahamisha familia kwamba mtoto wetu akijifungua salama atalejea nyumbani ila mtoa mada asijione ana haki ya kuiamulia hiyo familia kisa tu ametotoa na huyo bibie ndoa ndio ingemtambulisha vizuri
 
Soma vizuri story yake hana maelewano mazuri na hiyo familia na naamini sababu ni kuishi na binti yao bila ndoa kujitambulisha sio sababu maana wanaume wengi sikuizi imekuwa fashion kwenu laiti kama angekuwa yuko vizuri na hiyo familia wasingemlazimisha bibie kuondoka nae hospital
😃😃imekuwa fashion kwetu ....ina maana hayo maamuzi huwa tuna yaamua sisi binafsi bila ya nyie jinsia pinzani kuyaafiki...?.....au huwa tuna date na watu ambao hawajitambui kiasi kwamba wanashindwa kutambua kuwa haya maamuzi tunayo yafanya sio mazuri na yanaweza kuleta mkanganyiko......halafu mbona story ya muhusika iko plain amesema kwamba binti ndiye aliyeanza kuzingua akakataa kwenda kutambulishwa ukweni (but sina hakika na usahihi wa hii sceanario yake)
 
Hapo kwenye kukataa kutambulishwa huku akiwa amebeba kiumbe tumboni nimetilia shaka lazima kutakuwa na tatizo haingii akilini binti akubali kuishi nae akatae kirahisi hivyo
 
Nikisoma napata tafuatayo. Huyo manzi itakuwa kabebeshwa mimba na mtu mwingine, kwako ilikuwa chaka tu la kuzugia.

Baada ya kupata uhakika na huyo mchiz, akagoma kuendeleza hatua zaidi na wewe. Hapo kajirudishwa kwa sababu za kiuchumi tu.

Picha halisi ni mume mwenzio haeleweki na ndie anaye mzuzua, siku Akisomeka tu. Hutomuona tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu ni huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umetendewa wewe lakini hasira nimepata mimi!
 
Hapo kwenye kukataa kutambulishwa huku akiwa amebeba kiumbe tumboni nimetilia shaka lazima kutakuwa na tatizo haingii akilini binti akubali kuishi nae akatae kirahisi hivyo
😃😃
 
Uko on point..mshikaji ajichunguze manzi anajiamini sana
Nikisoma napata tafuatayo. Huyo manzi itakuwa kabebeshwa mimba na mtu mwingine, kwako ilikuwa chaka tu la kuzugia.

Baada ya kupata uhakika na huyo mchiz, akagoma kuendeleza hatua zaidi na wewe. Hapo kajirudishwa kwa sababu za kiuchumi tu.

Picha halisi ni mume mwenzio haeleweki na ndie anaye mzuzua, siku Akisomeka tu. Hutomuona tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisoma napata tafuatayo. Huyo manzi itakuwa kabebeshwa mimba na mtu mwingine, kwako ilikuwa chaka tu la kuzugia.

Baada ya kupata uhakika na huyo mchiz, akagoma kuendeleza hatua zaidi na wewe. Hapo kajirudishwa kwa sababu za kiuchumi tu.

Picha halisi ni mume mwenzio haeleweki na ndie anaye mzuzua, siku Akisomeka tu. Hutomuona tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndilo nililoliona mimi pia. Hapo zuga tu mchezo wote anauchezesha mume mwenzie. Nq hata kama si hivyo huyo mwanamke si wa kuoa familia haina adabu hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom