Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

Kauli hii tu ndio imenichekesha ukiacha upuuzi mwingine mwingi

"kipindi nimelala ananinyemelea ananigusisha kidole kwenye fingerprint, anakagua mawasiliano yangu yote."

Wanawake mtatuua jamani ,kuna siku mtatulambisha chumvini tukiwa tumelala.
Ukute unaota unalamba kokwa la embe sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWAMBIE USIPORUDI , UTAOLEWA NA NDUGU ZAKO......


UKICHELEWA KURUDI...NITAOA MWANAMKE MWENGINE.



Alafu muache aende zake


Ternado,
 
kua makini usije kuoa galasa hilo atakusumbua zaidi ukimuoa
 
Aisee pole sana, yaani siyo huyo dada tu hadi ndg zake na wazazi wake hawana huruma na ww,
Kwann wanakuendesha hivyo?
Halafu pia inaonekana hujawahi waonesha msimamo wako,, aisee mwanaume msimamo ni wa muhim san ktk mambo ya msingi,
Ushauri wangu: Huyo hakufai, hajajitambua na pia ukimwoa jiandae kuendeshwa na hiyo familia ya kwao,
Inaonesha dhahiri anapokea maaelekezo toka kwao , hana mamuz yeye km yeye, ni hiyo ni shida kubwa sana ktk maisha ya ndoa,
So amua vema kabla ya kufabya maamuzi ndg,
Mwisho: Usiache kulea mtoto kwa garama yyte ile,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipokataa tu kutambulishwa at first time hiyo ni red flag. Ulitakiwa uweke mguu pande.

Achana naye. Jiridhishe kama mtoto ni wako, lea. Kama si wako. Achana naye mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri ushapewa tayari sasa hapa unasoma nini?? Au unafikiri mi ntaandika tofauti,Ndio hivyo sasa Akili kichwani mwako Ila Demu wako mkali Aisee!
 
Duh dogo unataka ushauti gani sasa hapa??ok tambua mambo matatu tu ninayo yaona la kwanza huyo mtoto sio wako pili hakuoendi anapenda mfukowako tatu usithubutu kumuoa utajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom