mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,727
No dharau kubwa sanaHivi mbona kuna wanaume wajinga sana dunia
Kitendo cha mwanamke kukutukana ni kitu kibaya sana hasa kwa Mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
No dharau kubwa sanaHivi mbona kuna wanaume wajinga sana dunia
Kitendo cha mwanamke kukutukana ni kitu kibaya sana hasa kwa Mimi
Hivi unadhani kila maoni yange-sikilizwa unafikili hii Ingekuwa nchi ?
"Tunafanyia kazi maoni yenye mashiko"
Peace




Unapelekeshwa kama mtoto mdogo..samahan lakin
Kuna uwezekano mkubwa huyo mtoto sio wa jamaa au mwanamke na ndugu zake walikuwa hawana uhakika wa baba wa mtoto.kakudharau mpk anakuita shogha!!!! Hyo ni muhuni na usishangae ata hyo mtoto akawa amekubambikia, achana nae bwashee.
Kuna mwanamke una date naye mimba sio kigezo wala tiketi ya kutambulishwaSiamini huyo bibie ana matatizo ila nawe una makosa haiwezekani mwanamke akubali kubeba mimba kisha akatae kutambulishwa kenu umeficha vitu vingi kwenye hii story yako.
Ni kweli ila nina wasiwasi pengine kuna tatizo zaidi alichoandika mtoa mada haiwezekani ghafla bibie abadilike na kukataa kutambulishwaKuna mwanamke una date naye mimba sio kigezo wala tiketi ya kutambulishwa
sent from toyota Allex
Alirudisha