Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

Soma haya matukio, halafu naomba ushauri

Sawa ila wazazi wanatakiwa wawe na hekima na busara.
Yeye alitakiwa awe mpole kamzalisha binti wa watu hili ni kosa kimaadili na kidini iweje atake kuleta sheria kwa binti ambaye hakufunga nae ndoa ana mapungufu nae.
 
kivip mkuu hapoo sijakuelewa
Mtoto wa kwanza huwa ni wa upande wa mume, ukiacha hivyo pia mtoto anapozaliwa kuna watu wengine huwa wanamfanyia mamila.
Sasa mtoto wangu akifanyiwe mamila ukweni, wengine huwa wana nenewa maneno wakiwa wachanga ambayo huweza kuathiri mstakabali wao mbele.

NB:
Mwanangu atofanyiwa mila yoyote wala hatovaa chochote aidha mkononi, shingoni au kiunoni.
 
Yeye alitakiwa awe mpole kamzalisha binti wa watu hili ni kosa kimaadili na kidini iweje atake kuleta sheria kwa binti ambaye hakufunga nae ndoa ana mapungufu nae.
Wewe dada tatizo ume shikilia sana kwenye ndoa, una binti nini? 😀 😀 😀 😀
 
Mahusiano hayapo hivyo kwani huyo bibie akianda kwao ana pungukiwa na nini huyo Mwanaume
watu wanashindwa kuelewa kuwa mahusiano hayako kama tunavyodhani wala nadharia tunazoziona mitandaoni au kwenye maisha ya majirani au ndugu kuna nyumba alaf kuna chumban humu ndimo kuna ukweli ambao n wachache sana huusema wakiamua kuyatoa nje wengi huficha ficha na kujisuuza wao ili wenzao waonekana ndio wenye makosa!!!!!!!!mleta mada amqoute bibie naye aseme tuone mizan itaamua nini🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Ahahahaha ndio maana unaegemea upande mmoja, assume hauna binti, mtoto wako wa kiume anafanyiwa huo upuuzi.
Hii kesi mbona nyepesi nitamuacha binti aende kwao kwanza kumuhudumia mzazi ni kibarua kizito "Akunyimae kunde......
 
Of course, ni mama na nina watoto 3 wadogo!
Ushauri uliotoa nakuunga mkono, umeshauri vyema kabisa.
Tungeshauri sisi tungeambiwa kisa wanaume sijui jamaa hajaoa, uoe chizi!!
 
Hii kesi mbona nyepesi nitamuacha binti aende kwao kwanza kumuhudumia mzazi ni kibarua kizito "Akunyimae kunde......
Aiseee mtoto ataenda kufanyiwa makorokocho huko...tena baba yake hana interest ya kuoa binti yao!!
 
Ahahaha aaawapi, mke wangu ataenjoy akiwa ana jielewa na kujua mipaka yake.
Mke wangu atadeka sana ila akileta upuuzi inakula kwake.
Wewe unaonekana ni mkorofi inatakiwa upate mwanamke kama wa mtoa mada akuweke kwenye mstari
 
Mtoto wa kwanza huwa ni wa upande wa mume, ukiacha hivyo pia mtoto anapozaliwa kuna watu wengine huwa wanamfanyia mamila.
Sasa mtoto wangu akifanyiwe mamila ukweni, wengine huwa wana nenewa maneno wakiwa wachanga ambayo huweza kuathiri mstakabali wao mbele.

NB:
Mwanangu atofanyiwa mila yoyote wala hatovaa chochote aidha mkononi, shingoni au kiunoni.
sawa kabisa kuna nadharia pia ya mzazi kuridhika na matunzo au uangalizi atakaopewa binti pindi atakapojifungua since n uzazi wa kwanza maanake kila kitu ni kipya kwake ,,,,,,,,ndo maana wazazi wa mtoto wa kike hutamani sana uzazi wa kwanza wamtunze wenyewe,,,,alaf pia mkuu ukiona kuna siasa zinataka kujipenyeza kwenye ndoa yako piga stop mke wako asiende kwao wala kwenu ,,,,,,akijifungua ingia mzigoni inawezekana kabisa hata kama umeajiriwa au umejiari ,,,,,unaamka mapema unamwandaa mkeo then unatoka kwa mwenzi wa kwanza ukifanya effectively trust me baada ya hapoo n mara moja moja utamsaidia ukiwa nyumban ,,,,,,,,,alaf ndoa nyingi au mahusiano mengi huaribika pale tuuu unaporuhusu unnecessary siasa sijui mama,sijui mamakwe sijui wifi tupa kule mpka mnazaa naamini umlikuwa mnapendana
 
Wewe unaonekana ni mkorofi inatakiwa upate mwanamke kama wa mtoa mada akuweke kwenye mstari
Mie mkali ila nina smile muda wote, ningekua na uwezo ningekutajia watu wa huku wanao nifahamu tangu mwaka 2011, hawajuhi kama mimi mkali.

Kuna binti huku huwa ana niita mpole (kaka)
 
osiligi2018,
Sasa hapa umetoa ushauri sahihi.
Mungu akijalia nikaoa na kupata Mtoto uzazi atalia kwangu, kama ni mama yake aje.
 
Of course, ni mama na nina watoto 3 wadogo!
basi sawa nikiandika ntakukwaza am double sure ila soma tena comment yako,,,, jitafakari wewe ndo uwe mama wa mtoto wa kike au hapoo ulipo tuanze kusema wanao wakapimwe dna!!!!!! utajisikiaje ???mkuki usiwe tuu kwa ngurume jaman
 
Na huu ndio ukweli ambao amefisha "kila mwamba ngoma huvutia kwake story yake anaonesha ana mapungufu so bibie kajiongeza.
Kajiongeza harafu anachukua simu ya jamaa na kuwatafuta wanawake alio kwenye mahusiano nao na kuwaambia wamuache jamaa. Wewe shida yako ni kwamba umeamua tu kumchukulia mtoa mada kama mkosaji tu.

Inawezekana vipi mtu aamue kutukana, kusema mtoto hata usipo mlea wewe atakuwa tu, WEWE SHOGA, n.k harafu mda umepita anakuja kuwatafuta wanawake ambao upo kwenye mahusiano nao.

Mtoa mada aliamua ku move on na kama angekuwa na matatozo basi yule mwanamke asingejihusisha na simu ya mtoa mada tena.
Bado tu hujagundua mwenye tatizo ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom