Daah sawa mkuuhuyo siyo mtoto wako bwege wewe
Hiyo inatokea, wangu aligoma nisipeleke mahari kwao. Nami nikanyuti.Siamini huyo bibie ana matatizo ila nawe una makosa haiwezekani mwanamke akubali kubeba mimba kisha akatae kutambulishwa kenu umeficha vitu vingi kwenye hii story yako.
Pole sanaHiyo inatokea, wangu aligoma nisipeleke mahari kwao. Nami nikanyuti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huu ndio ukweli ambao amefisha "kila mwamba ngoma huvutia kwake story yake anaonesha ana mapungufu so bibie kajiongeza.one side story,,,,,,,,,,inawezekana umeficha vingi
NonsenseHivi unadhani kila maoni yange-sikilizwa unafikili hii Ingekuwa nchi ?
"Tunafanyia kazi maoni yenye mashiko"
Peace
Jamaa alimuoa huyo bibie au alikuwa anaishi nae mnapenda kurahisisha mambo hajaoa hana amri ya huyo mwanamkehapo huna mwanamke ...bali ulikutana na jini mkata kamba...kama hiki kisa chako kina ukweli..basi naomba nikuambie hata family ya huyo mwanamke sio family/ukoo wa kuoa ...hawana nidhamu....ilikiwaje watake kumchukua binti yao bila ya kuja kumuomba kwa wazazi wako (hizo ni dharau )
Ndio wakamchukue hospital?Jamaa alimuoa huyo bibie au alikuwa anaishi nae mnapenda kurahisisha mambo hajaoa hana amri ya huyo mwanamke
Mkuu binti ambaye hujamuona tena umeikosea adabu familia kwa kumzalisha binti yao una kauli nae wazazi wakitaka kumchukua binti yao hospital. Naomba comment yangu usijibu kiushabiki.Ndio wakamchukue hospital?
😃😃kama wanalijua hilo basi hawakupaswa kumsusia binti na kumuambia akamchukue ...so kama hiyo ndio logic kuwa hajamuoa ..so walimpa akakae nae akiwa kama nani ?Jamaa alimuoa huyo bibie au alikuwa anaishi nae mnapenda kurahisisha mambo hajaoa hana amri ya huyo mwanamke
Kama utaona sio ya sogea tuishi ulete mikwaraAisee mie mwanamke asije jaribu kuniletea upuuzi kama huo, Wakwe wenyewe wanatakiwa wakae mguu sawa na mimi.