Nahitaji msaada wenu Wana JF

Nahitaji msaada wenu Wana JF

bebras

Member
Joined
Nov 21, 2026
Posts
8
Reaction score
21
Jamani ndugu zangu mie na tatizo kubwa sana na jini nimejaribu Kila sehemu wameshindwa,je sehemu Gani hapa Tanzania Kuna waganga hatari wa kuondoa hili tatizo?iwe waganga wa kuharibu iwe wa kutibu nahitaji msaada wenu Niko katika mateso huu mwaka wa 6 jini hatoki na kafunga Kila kitu na kipigo napata na kupigwa na uchawi kuchomwa macho mpaka jicho halioni silali ni mateso nalala chini na nuksi kuliko Giza yaani siwezi elezea ni mengi nahitaji waganga konki ni inbox naomba msaada hali ni mbaya
 
Ulilitoa wapi jini?
Achana na hao wafuga majini njoo kwa Yesu hakuna kitu kinaitwa jini kinakaa na Yesu.
Amini tuu.
 
Nenda kanisani, watakuombea na litatoka. Yesu ni jibu la mambo yote. Usiteseke wakati Yesu alikufa msalabani ili tuwe huru katika yote. Ukiweza nitafute dm
Wewe usitake umpeleke akatapeliwe wale huwa wanafanya maigizo wenyewe kwa wenyewe kujifanya wanaanguka chini kwa mapepo na wengine kujifanya viwete hakuna mjinga asiyegundua hiyo michezo.
 
Jamani ndugu zangu mie na tatizo kubwa sana na jini nimejaribu Kila sehemu wameshindwa,je sehemu Gani hapa Tanzania Kuna waganga hatari wa kuondoa hili tatizo?iwe waganga wa kuharibu iwe wa kutibu nahitaji msaada wenu Niko katika mateso huu mwaka wa 6 jini hatoki na kafunga Kila kitu na kipigo napata na kupigwa na uchawi kuchomwa macho mpaka jicho halioni silali ni mateso nalala chini na nuksi kuliko Giza yaani siwezi elezea ni mengi nahitaji waganga konki ni inbox naomba msaada hali ni mbaya
Wewe ni dini gani na upo wapi?
Kama ni muislam na upo dar mtafute sheikh Kishk au Rusaganya watalitoa sekunde tu na halitarudi kamwe.
 
Jamani ndugu zangu mie na tatizo kubwa sana na jini nimejaribu Kila sehemu wameshindwa,je sehemu Gani hapa Tanzania Kuna waganga hatari wa kuondoa hili tatizo?iwe waganga wa kuharibu iwe wa kutibu nahitaji msaada wenu Niko katika mateso huu mwaka wa 6 jini hatoki na kafunga Kila kitu na kipigo napata na kupigwa na uchawi kuchomwa macho mpaka jicho halioni silali ni mateso nalala chini na nuksi kuliko Giza yaani siwezi elezea ni mengi nahitaji waganga konki ni inbox naomba msaada hali ni mbaya
Hapa waumini wa ile dini ya kukemea umewadaka kiulaini kabisa maana hiyo kitu ndio BASE ya dini yao
 
Ulilitoa wapi jini?
Achana na hao wafuga majini njoo kwa Yesu hakuna kitu kinaitwa jini kinakaa na Yesu.
Amini
Wewe usitake umpeleke akatapeliwe wale huwa wanafanya maigizo wenyewe kwa wenyewe kujifanya wanaanguka chini kwa mapepo na wengine kujifanya viwete hakuna mjinga asiyegundua hiyo michezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom