Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 643
- Thread starter
- #21
Hii hapa ni 2005 Nissan Xtrail/80,580km / 2AZ Engine / 2,360 cc
Gharama zake hadi kufika Bandari ya Dar es salaam ni Tshs : 7,047,200
Unaweza kuangalia picha zaidi na taarifa zake hapa kwenye hii link
Used 2005 TOYOTA ALPHARD V AX TRESOR ALCANTARA VERSION/CBA-ANH10W for Sale BG857432 - BE FORWARD
Kuna gari ingine ambayo ni chaguo lako.?!
Umeipenda, lakini unahisi budget yako haitokuruhusu kuweza kulipia ushuru.?!
If yes, tunaweza kuwasiliana kuzungmzia hili suala, ninaweza kukuonganisha na mtu anayesaidia kulipia ushuru na gharama zote za bandari na kulitoa gari lako kisha unamrejeshea kwa awamu mbili.
Ila panakua na makubaliano ya kisheria, na kuandikishiana.
Enjoy!
NOTE : MALIPO YA CIF (MALIPO YA MANUNUZI YA GARI KULE JAPAN) UNAENDA MWENYEWE KULIPIA, BANK KWENYE ACCOUNT YA KAMPUNI YA MUUZAJI (KAMA NI BE FORWARD, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA BE FORWARD, KAMA NI ENHANCE, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA ENHANCE , KAMA NI SBT, BASI UNALIPIA KWENYE ACCOUNT RASMI YA SBT)