Huawei wameleta gari la umeme

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2812481

Kampuni ya Huawei imeunda gari jipya la kuchaji kwa umeme (electric vehicle) ambalo limeletwa ili kuleta ushindani na kampuni ya Tesla.

Gari hiyo imetengenezwa na kampuni ya kichina inaitwa Automakers cherry ambayo inauzwa kwa dollar za kimarekani ($42,380) kuanzia novemba 28 kampuni hiyo ilisema kupitia mkutano wao.

IMG_20231113_115814_061.jpg

View attachment 2812486

Gari hiyo ambayo Moja ya sifa yake kubwa ni kuwa na betri imara Ina 800v ambalo unaweza kuichaji kwa dakika 15 na kujaa itakupelekea kuendasha gari lako mpaka umbali wa km 700 sawa na miles 435.

Gari hii inakuja na feature ya Huawei harmony Os 4 software na AD 2.0 intelligent driving system itakusaidia kwenye kazi mbalimbali wakati unaendesha unaweza kuunganisha simu na saa pamoja.

View attachment 2812482

Kuna kamera 11 yenye kukusaidia kuangalia matukio mbalimbali wakati unaendesha , kukiwa na ramani ya 3D kwa ndani unaweza kumuangalia mtu unaweza sema mwenyewe jinsi inavyoonekana kwenye kioo.

View attachment 2812483

Kwa mbele Kwenye hiyo gari Kuna Led Light Pana zilizoshikana na taa nyembamba kwa mbele zenye kutoa mwanga mzuri nyakati za usiku.

View attachment 2812484


Huawei sio mara yao ya kwanza kutoa magari kwani gari yao ya kwanza iliachiwa mwaka 2021 Shanghai motor show ilikua inaitwa SF5 Suv lakini hii inaitwa luxeed EH3 model. View attachment 2812485
 
Back
Top Bottom