Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

Hii update mpya kiukweli binafsi sijaipenda.. ni bora hata hii ya zamani kidogo ipo vizuri,mda si mrefu nimetoka kuunstall hii update mpya na kuinstall old version.. shida inakuja kwenye kulogin
 
Hivi kubadili user name humu jf inakuaje maana kuna kuwa na account hewa nyingi kwa watu kuzitelekeza na kufungua nyingine kwa jina lingine
 
Siku tatu nyuma JF walitoa update ya app yao. Ilikua imeboreshwa mno, yaani robo ya faida ya kuingilia JF kupitia web ilikua kwenye hii update.

Mfano ile kuona sticky contents, nilivutiwa sana na hii kitu.
Pia wakahama rangi, kutoka ile dark blue mpaka light blue.

Lakini baada ya kuupdate nikagundua notifications haziingii. Mbaya zaidi imekariri notifications za nyuma ila inaniambia ni za siku mbili nyuma..
Screenshot_2018-02-16-07-04-28.png


Nikauniinstall na kuinstall upya.
Bado ikawa haileti notifications.

Nikaclear data, nikalog out na kulog in tena.
Bado notifications haziji.

Kisha jana siku nzima ikawa inanidai password kila muda. Kufikia hapo nikaona hii update ina vitu vya kufix.

Bahati nzuri, hua naback up apps zangu mara nyingi na last time niliupdate hadi app ya JF hivyo nimeitoa hii mpya na kurudisha ya zamani.

Narudisha tu ya zamani na notification inaingia.
IMG_20180216_101033.png


JamiiForums mna kazi ya kuiweka sawa hii update.
 
Mkuu, mie nilipo-update notifications zilikuwa haziji bt tokea jana notifications zinaingia kwa wakati kama kawa.. Tatizo pekee ambalo bado naliona mie likes kutozidi 5 kwenye hiyo App ya Jf..
 
Mkuu, mie nilipo-update notifications zilikuwa haziji bt tokea jana notifications zinaingia kwa wakati kama kawa.. Tatizo pekee ambalo bado naliona mie likes kutozidi 5 kwenye hiyo App ya Jf..
Aisee mimi mpaka leo asubuhi sipati notifications. Hivyo nikawa naingia na kwenye web ili nione kama nina notifications.
 
Aisee mimi mpaka leo asubuhi sipati notifications. Hivyo nikawa naingia na kwenye web ili nione kama nina notifications.

Aisee pole sana.. Ila nadhani baada ya muda itakaa sawa na utapata notifications kama kawa..
 
Asante kwa kuirejesha JF kwenye play store!
Tatizo sioni button ya New Topic kwenye version JF. Je imeondolewa?
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Back
Top Bottom