Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,151
- 1,678
Fulana bado zipo, wale niliosema kuwatumia nitahakikisha nafanya hivyo mapema iwezekanavyo.
log in imekuwa tatizo.....inaleta options za username na password tuuMkuu Sosoliso, asante kwa feedback.
Tunakushukuru kwa kutambua baadhi ya maboresho na kuyaainisha. Tunaendelea kufanya maboresho zaidi kwenye baadhi ya maeneo machache yaliyosalia.
Pamoja!
Umeiona hiyo notification ya like?Inabidi utumie Web hiyo ndio inakila kitu na Notifications zako zote utazikuta huko.
Baba yeyoo no yake hiyo anaitwa hemed sema yupo dar now kama ukiwa tayari ukimtafuta atakupa mtu wa kuonaa nae umpe 0629 565168 unichanganyie wa babu issa na kiponda usininunulie kiroba wasije wakakataa kunibebeaItapendeza Mama Yeyoo. Kazi ni kwako


Baba yeyoo no yake hiyo anaitwa named sema yupo dar now kama ukiwa tayari ukimtafuta atakupa mtu wa kuonaa nae umpe 0629 565168 unichanganyie wa babu issa na kiponda usininunulie kiroba wasije wakakataa kunibebea![]()
Nimeiona ila sasa mpaka uifungue hapo hapo. Ukisema unaachana nayo ukiingia ndani upande wa Notifications haipo.Umeiona hiyo notification ya like?
Ngoja tuwavumilie huenda bado wanapambana hii haliNimeiona ila sasa mpaka uifungue hapo hapo. Ukisema unaachana nayo ukiingia Upande wa Norifications haipo.
Yaani bado.
Wa kawaida wenye tangawizi na pilipili usisahau na wa babu issa baba yeyooKiponda wa tangawizi? Kuna wa embe ubuyu na wa kawaida wenye pilipili.
Hata hivyo situmii app yao huo uchafu I can't loose my bundle forHaha hamia Twitter kwani ni lazima kutumia Jf
Ongeza balimi moja bill kwanguHata hivyo situmii app yao huo uchafu I can't loose my bundle for