mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,563
Maboresho mengine hayazoeleki kaka,hasa haya ya awamu ya tano.Maboresho lazima yalete shida kidogo ila tutazoea tu
Maboresho mengine hayazoeleki kaka,hasa haya ya awamu ya tano.Maboresho lazima yalete shida kidogo ila tutazoea tu
Na sasa hivi hakuna raha ya kusoma habari ambayo ina aya mbili au zaidi maana hakuna space kati ya aya na aya, sehemu ya space imejazwa na hizi alama. <b>>> yaani hadi keroooo.Mkuu, mie nilipo-update notifications zilikuwa haziji bt tokea jana notifications zinaingia kwa wakati kama kawa.. Tatizo pekee ambalo bado naliona mie likes kutozidi 5 kwenye hiyo App ya Jf..
Sorry, Niliiimanisha New New Posts labda nimekosea kutumia neno new topics. ni kwamba kwa kutumia simu, nikiingia kwenye JF kwa kutaka kuokoa muda hupenda kutumia button ya new posts ila sasa siioni baada ya ku install hii app mpya. Hapa natumia laptop(swali lako kwa,ba nimefikaje hapo bila hako kaneno)Ndo maendeleo
Any way umefikaje hapa sasa bila hako kaneno.
Inakua balaa, sasa usiombe unachat na mtu pm halafu notifications haziji.Nami bado hazijaja, unakuwa gizani sana bila notifications
Kwa kesi kama hii hebu jaribu kulog out na kulog in tenaNa sasa hivi hakuna raha ya kusoma habari ambayo ina aya mbili au zaidi maana hakuna space kati ya aya na aya, sehemu ya space imejazwa na hizi alama. <b>>> yaani hadi keroooo.
Nawasilisha malalamiko.
Ngoja nijaribu.Kwa kesi kama hii hebu jaribu kulog out na kulog in tena
Pamoja bosiNgoja nijaribu.
Hakuna mabadiriko.Pamoja bosi
Jaribu kulog out.Hakuna mabadiriko.
Matumaini yetu ni kwamba wataweka sawa hizi ishu ndogo ndogoHata link ya "participated" mimi siipati, na sidhani mimi ni mshamba kihivyo!! Mods!!
JF ni jamvi la siku nyingi lenye wataalamu wa IT waliobobea. Ni aibu kusema "ishu ndogo ndogo", ambazo huonesha umakini na umahiri wa mtu.Matumaini yetu ni kwamba wataweka sawa hizi ishu ndogo ndogo

SenkyuuuuSalaam,
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba hatimaye tumekamilisha maboresho tuliyokuwa tukiyafanya kwenye APP ya JamiiForums na sasa inapatikana ikiwa na muonekano mzuri zaidi pamoja na urahisi wa kutumia. Unaweza kuipakua sasa au kama tayari unayo tafadhali fanya Update ili kupokea maboresho hayo.
Kwa takribani siku 10, baadhi ya watumiaji hususan wa device za mfumo wa Android mlikutana na changamoto ya kutoweza kuipata App ya JamiiForums kupitia Playstore; JamiiForums haipatikani Playstore. Nini tatizo?
Tunashukuru kwa uvumilivu wenu katika kipindi chote tulichokuwa tukiifanyia kazi.
Kuna swali lolote?
Karibu.. Bonyeza HAPA kuupdate
Asante sana... Langu ni hili mlituahidi kutuongezea jukwaa la mambo ya giza kwenye maboresho mapya lakini hili sijalionaSalaam,