Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,030
- 126,023
Mie nakumbishia hiyo App bado kuna tatizo upande wa notification yaani kama kwangu zilizopo ni za siku saba nyuma nikitaka kuziona mpya basi mpaka nitumie Web.
Naomba ufafanuzi wa hili Wakuu.
CC: JamiiForums.
Naomba ufafanuzi wa hili Wakuu.
CC: JamiiForums.