Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
wa rufiji.Wewe mndengereko wa wapi? umeshindwa hata kukopi neno genius kutoka kwenye hiyo picha uliyobandika?
nikupe options za majibu?? kama kwenye chumba cha mtihani vile (choose the correct answer)Mie sijui hesabu kabisa hapo naona nyota tu
yah embu nieleweshe nione kwamba hukubahatishaJibu ni 26, nikueleweshe nivyopata???
umepatia tueleze umeipatapataje.sijui kama nimepatia 26???
jibu umepatia lakini njia uliyotumia sio sahihi.4+5+17=26
tell us how umeipata hiyo 265=26 am genious
njia ya uongo but jibu la kweli.4+17+5=26...................
yah embu nieleweshe nione kwamba hukubahatisha