Solve this if you are genious

Solve this if you are genious

hahahahaha
hivi nini kilisababisha nikapata 3/100 kwenye hesabu kama najua namna hii.
inawezekana unajua hizi hesabu rahisi tu (basic)ukiweka mziki unasanda kitu cha advanced math,
by the way ulikula F 3/100 lol!!
 
na ningeambiwa nimepata zaidi ya hiyo ningekata rufaa. hahaha
but howcome umepata hii umesaidiwa nini ??? by the way huwa wanasema hesabu ni ugonjwa wa taifa na ukipata f huwa unapendezesha cheti eti ni maua yake lol!!
 
Back
Top Bottom