Pole Sana Kiongozi Kwa YaliyokukutaHiyo namba nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.
Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.
Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.
Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.
Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.
Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.
Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
mkuu matapeli wapo kila sehem...wasiliana nasi njoo ofisin kwetu uprove kabla ya kuhukumPole Sana Kiongozi Kwa Yaliyokukuta
Bahati Ni Kuwa Wanaleta Matangazo Wakijua Wameshaharibu Biashara Yao, Uongo Wa Kuaminisha Umma Vifaa Vya Germany Kumbe China
Nakushukuru Sana Wengi Sana Watu Watawaepuka Hawa Wajanja Wa Kariakoo
Sina sababu ya kuharibu biashara ya yeyote na sina sababu ya kuzua.ukichafua biashara ya mtanzania mwenzako anayepambana kujikwamua kutoka kwenye umaskini inakuongezea nini kwa mfano....sisi tunauza vitu orijino kutoka ujerumani na tuna ubia na kampuni ya Doch toka ujerumani...wasiliana nasi...njoo ofisin kwetu mbezi kama unataka kuprove nnachokieleza...karibuView attachment 1234883
Duh! Labda aliyenipa hiyo namba alinipa jina silo lake. Imetoka jina Issa na huwa si save namba kama sina kazi nayo.hiyo namba umekosea kuisave haiji jina hilo...angalia kwa umakiniribiane biashara jaman
sasa kwanini upotoshe kuwa hiyo namba unayo kwenye phone book yako inasoma Issa wakati siyo!? namba hii haisomi Issa....kwanini mistakes zako zinihukum mimi...!?Sina sababu ya kuharibu biashara ya yeyote na sina sababu ya kuzua.
Nami nipo kulinda maslahi ya wengine.
Pitia jukwaa la matangazo ya biashara au uliza kama nimewahi kuharibu biashara ya yeyote humu.
Naandika yaliyonikuta.
Duh! Labda aliyenipa hiyo namba alinipa jina silo lake. Imetoka jina Issa na huwa si save namba kama sina kazi nayo.
Kama mmemuajiri huyo mtu mwenye namba hiyo basu muelewe kuwa hawafai.
Kama namba ni yako wewe basi jitambue.
Siwezi kuzua.
hiyo namba umekosea kuisave haiji jina hilo...angalia kwa umakiniribiane biashara jaman
sasa kwanini upotoshe kuwa hiyo namba unayo kwenye phone book yako inasoma Issa wakati siyo!? namba hii haisomi Issa....kwanini mistakes zako zinihukum mimi...!?
Kwenye mpesa halitoki jina Issa. Na sijasema nimelipata kwenye mpesa. Nimesema nimechukua hiyo namba hapo juu nilipokuwa na i save kwenye simu yangu likatoka jina Issa kwa kuwa nilisha i save zamani. Kanisome tena.samahan...naomba mtu yeyote aangalie kwenye mpesa na Tigo pesa kama kwenye hizo namba kuna namba inayosoma Issa kama Feiza anavyopotosha..
Dah, kwa hiyo bi mkubwa umeshoboka tu fasta bila kuhakiki? Usikute Issa alikuja kwenye foni-buku yako na upepo wa kisulisuli sasa wewe unachanganya madesa.Duh! Labda aliyenipa hiyo namba alinipa jina silo lake. Imetoka jina Issa na huwa si save namba kama sina kazi nayo.
Kama mmemuajiri huyo mtu mwenye namba hiyo basu muelewe kuwa hawafai.
Kama namba ni yako wewe basi jitambue.
Siwezi kuzua.
siku nyingine kuepuka matapeli wasiliana na mtu then fika ofisin kwake hakikisha unachokiamn....au tuma mtu unayemuamn akukagulie mzigoKwenye mpesa halitoki jina Issa. Na sijasema nimelipata kwenye mpesa. Nimesema nimechukua hiyo namba hapo juu nilipokuwa na i save kwenye simu yangu likatoka jina Issa kwa kuwa nilisha i save zamani. Kanisome tena.
Nimejaribu ku google jina ulilotoa kuwa mnashirikiana nao kutoka Ujerumani "Doch" sikuipata hiyo kampuni. Nilichopata ni kamusi tu ikieleza maana ya neno "Doch" linamaanisha nini.ukichafua biashara ya mtanzania mwenzako anayepambana kujikwamua kutoka kwenye umaskini inakuongezea nini kwa mfano....sisi tunauza vitu orijino kutoka ujerumani na tuna ubia na kampuni ya Doch toka ujerumani...wasiliana nasi...njoo ofisin kwetu mbezi kama unataka kuprove nnachokieleza...karibuView attachment 1234883
| erman Summer Bootcamp again, you can find them under the "Work Out" section. Have fun and happy sweating 🙂 |
Huwa sikisii.Dah, kwa hiyo bi mkubwa umeshoboka tu fasta bila kuhakiki? Usikute Issa alikuja kwenye foni-buku yako na upepo wa kisulisuli sasa wewe unachanganya madesa.