Soko la Tegeta Nyuki lateketea kwa moto

Usiku wa Manane huwa na mambo mengi sanaa
Wengine wana kufa na kuna wanaozaliwa.

Hasara iliyoje hii?
Mali iliyochumwa kwa miaka inaenda kuteketea ndani ya sekunde daah poleni sanaa mliofikwa na huo mkasa.

Ila hakuwepo hata nabii ambaye angetabiri hiyo Ajali?

Kuna haja kitengo cha maafa kiwe kinawapa hata kifuta machozi
 
Duh! MUNGU awatie nguvu

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Poleni sana ndg maana si jambo rahisi hasa kwa hali ya maisha na uchumi kwa ujumla na wale wenye mikopo yaan daaah..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…