Soko la Majani ya vitunguu maji(Onion leaks)

Scoob102

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
318
385
Habari, Nina shamba nimelima vitunguu specific kwa kuuza majani yake. Tafadhali naomba msaada wa soko lake la uhakika. Kwa sasa iliyo tayari ni nusu Heka... Shamba lipo Rudewa-Kilosa. Mwenye uhitaji plz tuwasiliane. Majani yamehudumiwa kwa kiwango ili yawe na ubora.
 
mkuu ungejaribu watu wa Green markets especially waliopo Dar wanaweza kukusaidia kwenye soko.
Asante mkuu, nimejaribu kusearch hao watu ktk mtandao ila sijafanikiwa. Unaweza kuwa unajua wanapatikana wapi exactly hapo Dar ikiwezekana niwafuate?
 
Asante mkuu, nimejaribu kusearch hao watu ktk mtandao ila sijafanikiwa. Unaweza kuwa unajua wanapatikana wapi exactly hapo Dar ikiwezekana niwafuate?
jaribu pale garden market opposite na collesium masaki au kwa wale jamaa wa oyster bay shopping centre wanaweza kukusaidia.
 
Back
Top Bottom