Soko la dunia lipo nchi gani

Soko la dunia lipo nchi gani

H
Mku nimekulewa sana ila mbona kwa sasa dhahabu bei yake imepanda almost $1700 per ounce kwenye soko la dunia lakini kwa wachimbaji wadogo bei imeshuka sababu wansema ni huu ugonjwa CORONA sasa kama mahali inapopatikana kwa wingi bei c ingeshuka kwa kuwa masoko hayo ya dunia hayafikiki hasa Tz as an example
Hii inaweza kusababishwa na wanunuzi wa ndani kuishiwa pesa za kununulia kwa kuwa usafirishaji wa mizigo kwenda kwenye masoko umekuwa mgumu kwa sababu ya ugonjwa wa Corona! Kwa hiyo supply inapokuwa kubwa na wananunuzi hawana pesa lazima bei ipungue.

Sababu nyingine ni wafanyabiashara kutumia Corona kama fursa ya kupata faida kubwa. Kwa kuwa wachimbaji kama walivyo wakulima mazao mbalimbali hawana info za bei ilivyo sokoni na wanahitaji pesa. Kwa hiyo watauza kwa bei inayotolewa na wanunuzi waliopo wakati huo.
 
Back
Top Bottom