Soko la dunia lipo nchi gani

Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.
Hapo sasa mkuu unachanganya, hiyo bei ya hiyo bidhaa fulani uliyosema unadhani inapatikana vipi? Location hapo ni muhimu maana bei inatokana na mizania ya demand and supply. Sasa unavosema soko la dunia ni 'term' bila location sikuelewi kabisa.
 
Hahahahaha swali zuri sana

Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.

Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.

Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.

Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.

Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
Je soko la dunia la tanzanite lipo wapi?
 
Soko la mahindi linalojulikana hapa kwetu ni la kibaigwa, lakini ni nini kinachopanga bei ya hilo soko? Ni mahindi yanayopatikana hapo kibaigwa, soko la mahindi la tunduma, la songea na masoko mengine ya mahindi ukilinganisha na idadi ya wateja wanaotaka hayo mahindi ( supply and demand). Kwa hiyo kinadharia soko la kitu fulani la dunia lipo mahali maarufu palipoanza kuuza hiyo bidhaa duniani, lakini bei yake inaathiriwa na upatikana wa hiyo bidhaa kwenye sehemu zingine duniani

Stay home, stay safe
Corona kills
 
Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.
Ndo mana nazidi kusisitiza, 'Location' ni kitu muhimu sana unapotamka soko la dunia kwa sababu unaweza kuwa na utofauti wa bei kwa bidhaa moja.

Mfano katika soko la dunia la mafuta kuna standard mbili i) Brent Crude Oil (Ambayo ipo determined na soko la mafuta la ulaya kaskazini) na ii) WTI Crude Oil (Ambayo ni standard ya kupanga bei ya mafuta ya America Kaskazini).

Ipo hivo kwa bidhaa nyingi tu,
 
Je soko la dunia la tanzanite lipo wapi?
Ki utaratibu linapswa kuwa Tanzania ila kwa sababu ya uboya wetu imekuwa siyo.. kipindi cha nyuma naskia lilikuwa nchi moja ya Scandnavia kama sio Uholanzi ambapo wengi wa wamiliki wa Tanzanite walikuwa wakisafiri kuiuza huko maana ndo kulikuwa na wanunuzi
 
Hahahahaha swali zuri sana

Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.

Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.

Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.

Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.

Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
Mkuu umemwelekeza vizuri ila akasome economics aache uvivu au agoogle aache uvivu , soko ni physical geographical area pia ni situations ndo maana kuna masoko yapo online kama online stores na other online retailers kama Amazon na Alibaba yote ayo ni masoko, wanaposema soko la dunia wanaamanisha ni soko la bidhaa ambazo upangiwa bei zake na mataifa mbalimbali au umoja wa wazalishaji bidhaa izo , kwa mfano OPEC ambayo ni umoja wa nchi zinazozalisha petroleum upanga bei za petrol , diesel na mazao yote ya crude oil sasa zile bei wanazopangwa huitwa bei ya petrol katika soko la dunia, maana yake ni usawa wa bei ya bidhaa katika nchi zote.
 
Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.
Kuna utofauti gan Kat ya jibu lako na maelezo ya mdau hapo juu?
 
Ndo mana nazidi kusisitiza, 'Location' ni kitu muhimu sana unapotamka soko la dunia kwa sababu unaweza kuwa na utofauti wa bei kwa bidhaa moja.

Mfano katika soko la dunia la mafuta kuna standard mbili i) Brent Crude Oil (Ambayo ipo determined na soko la mafuta la ulaya kaskazini) na ii) WTI Crude Oil (Ambayo ni standard ya kupanga bei ya mafuta ya America Kaskazini).

Ipo hivo kwa bidhaa nyingi tu,
Ndiyo kuna utofauti wa bei sikatai. Lakini kumbuka vile vile bei inaweza kuwa moja. Kulingana na mfano wako bei ya mchele inaweza kuwa sawa pale India na Thailand. Hivyo atakayenunua mcehele India si bado atakuwa ana-refer 'soko la dunia''?
 
Hapo sasa mkuu unachanganya, hiyo bei ya hiyo bidhaa fulani uliyosema unadhani inapatikana vipi? Location hapo ni muhimu maana bei inatokana na mizania ya demand and supply. Sasa unavosema soko la dunia ni 'term' bila location sikuelewi kabisa.
Nina maana bei inaweza kuwa sawa sehemu mbalimbali za dunia hivyo unasema soko la dunia unakuwa unamaanisha sehemu zote ile bidhaa inakopatikana kwa ile bei.
 
Imenibidi nicheke.

Nakumbuka miaka flani nilitumia akili na nguvu kubwa sana kuwafundisha na kuwaelimisha ndugu zangu tena wengine walikua na elimu ya chuo kikuu kuhusu soko la Dunia.

Sasa hapa kuona hili swali imenibidi nikumbuke miaka ile nicheke.

Ndiyo utoe majibu sasa mkuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kupata jibu la swali lako lazima ufahamu soko (market) ni nini.

Soko ni mahali wanapokutana watu kununua na kuuza bidhaa. Hii ni definition rahisi zaidi lakini soko lina mambo mengi ukiacha kubadilishana bidhaa. Ili kuwepo na harmony katika kubadilishana huko bidhaa lazima kuwepo na factors kadhaa ambazo zinawezesha ununuzi na uuzaji huo wa bidhaa nazo ni hizi hapa chini zinaelezwa kwenye hii definition ya market.

A market is one of the many varieties of systems, institutions, procedures, social relations and infrastructures whereby parties engage in exchange.

(Kwamba soko ni muunganiko wa mifumo, taasisi, kanuni, uhusiano wa kijamii na miundombinu inayowezesha watu (nchi) kubadilishana bidhaa) tafsiri sio rasmi sana, kiswahili kigumu.

Hivyo basi soko la dunia ni aggregate (muunganiko) wa masoko yote ya nchi tofauti unaoletwa na mahusiano ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi hizo.
 
Nitatumia kueleza upate picha kuhusu soko la dunia kwa kuielezea bidhaa maarufu ya dhahabu.Bidha hii ktk soko la dunia(rejea maelezo ya post 35) ambalo wewe mnunuzi au muuzaji ukiwa popote duniani unaweza shiriki kwa njia ya mtandao kwa kutmia platform ambayo broker atakupatia , unaweza analyse kwa kutumia chart bidhaa husika na ukafahamu kwamba inaweza kuwa ktk kupanda au kushuka hivyo ununue au uuze. Kwa kuifutilia dhahabu tangu mwaka jana imekuwa inapanda bei ktk soko la dunia na nimejaribu kuanalyse chart ya miaka mingi sana, naona kuna dalili ya kupanda kufikia record ya 1980 kisha bei itaanza kuporomoka( anlysis ya market sio kitu rahisi, kuna namna nyingi za kuanalyse market ila mimi ni strictly Technical Analyst)
 
Hahahahaha swali zuri sana

Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.

Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.

Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.

Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.

Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
Kwa hiyo soko la dunia la nyungu lipo Tanzania au sio, kweli asante serikali ya awamu ya tano kwa kuzalisha nyungu

Au Modds mnasemaje?
 
Back
Top Bottom