Biashara ya juice ya miwa

kijazi07

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
1,030
2,168
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada nataka kuanza hii biashara naomba mniambie upatikanaji wa mashine ya kukamulia miwa, soko la miwa linapatikana wap hapa dar es salaam pia changamoto ya hii biashara ni ipi ,,, pia kama una input yoyote naomba unishirikishe
 
Soko la miwa Tandika na Tandale Mashine kuna za kichina hapo kariakoo pia kuna zile za sido nenda sido utapata uliza lingine...
 
Changamoto Zipo ndogo ndogo kama kipind hich cha mvua wateja wachache nzi wengi na ukitaka namba ya muuza miwa wa tandika ninayo
 
Nimewahi fanya hii biashara kikubwa huwe msafi ...vaa groves unapo kamua juice.....mashine zinauzwa kuanzia laki 8 na kuendelea ila kwa apo dar sijajua zipo wapi
 
Back
Top Bottom