AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Bora anaesoma algeria maana inatoa scholarship za science only na imetoa vyuo 10 kati ya 100 bora duniani tatizo sio ajira mnaaona nini huko nje na chuo kipi?
Algeria?
Bora anaesoma algeria maana inatoa scholarship za science only na imetoa vyuo 10 kati ya 100 bora duniani tatizo sio ajira mnaaona nini huko nje na chuo kipi?
kuhusu TCU as long as mambo yako yako straight forward hawana maneno na mtu, kwanza documents zote unaupload mtandaoni, pale ofisini unaenda kuchukua cheti chako tu, tena wanakupigia kabisa kukupa taarifa...ache ubabaishaji watanzania
hahahaaa umenifurahisha kiranga,american civl war history af unataka kazi barrick. Ni kwel kuna umuhim wa kuangalia unachosoma,bado ndugu zetu wanaenda nje hata wengine weng humu wanataman kwenda nje..mi nasisitiza tu usijiwekee expecttions kubwa,na unaenda kusoma wap nin ni muhim,,
Nyie mliosoma nje kama mnavyojiita hua ninawashangaa sana hivi mfano ukiwa upo huko unakuja likizo bongo na wifi router za dola 25 mpaka 40 kumi na kuziuza 100,000 unafikiri ungekua un shilingi ngapi? kama mtaji? mfano trip 4 tu au mizigo mingine unaagiza wanaokuja bongo ungekua hauna mitaji? tatizo watanzania akili bado sana hata kusoma huko nje kwenu hakuwasaidii kuwaza nje ya boksi, mnachojua ni kuuza sura kupiga picha sijui guanzuu, sijui shanghai na kuaplod instagram,facebook etc sasa wewe uliesoma nje na mimi niliesoma Yanzania tofauti ipo wapi?
Ewe kijana usije fuata kila unachoambiwa haswa shauri kama hilo hapo juu.Yaani out of the box yake ni kununua router na kuleta Tz???Tunataka wasomi arif no disrespect there ila atleast ukienda nje njoo na mawazo ya uwekezaji,teknolojia za uzalishaji na the likes siyo kufanya uchuuzi ambao hata hauna sense.Nyie mliosoma nje kama mnavyojiita hua ninawashangaa sana hivi mfano ukiwa upo huko unakuja likizo bongo na wifi router za dola 25 mpaka 40 kumi na kuziuza 100,000 unafikiri ungekua un shilingi ngapi? kama mtaji? mfano trip 4 tu au mizigo mingine unaagiza wanaokuja bongo ungekua hauna mitaji? tatizo watanzania akili bado sana hata kusoma huko nje kwenu hakuwasaidii kuwaza nje ya boksi, mnachojua ni kuuza sura kupiga picha sijui guanzuu, sijui shanghai na kuaplod instagram,facebook etc sasa wewe uliesoma nje na mimi niliesoma Yanzania tofauti ipo wapi?
Mkuu nadhani ni Asia nzima, yani kazi hakuna unaishia kujipikia,kula, kulala na kusoma tu, boksi hakuna
Usidharau uchuuzi, hivi unafikiri kuna kampuni gani inaweza ku fund start up capital? biashara nyingi za bongo ni self procured capital maana inakua ni vigumu kupata mkopo kwa kuwaeleza idea yako ya kutaka kuanzisha kitu fulani bila kua established....nina uhakika katika either ukoo wenu au familia yenu ukiwaambia unataka unaze kufanya biashara unakusanya mtaji kila mtu akuchangie 20,000 tu x 100 hakuna hata mmoja atakae kuelewa wala kukubaliana na wazo lako....kuanzisha biashara lazima ungalie prevailing economic situations za ulipo sijui umenisoma?Ewe kijana usije fuata kila unachoambiwa haswa shauri kama hilo hapo juu.Yaani out of the box yake ni kununua router na kuleta Tz???Tunataka wasomi arif no disrespect there ila atleast ukienda nje njoo na mawazo ya uwekezaji,teknolojia za uzalishaji na the likes siyo kufanya uchuuzi ambao hata hauna sense.
Mkuu maoni yako nayaheshimu, lakini nikujuze tu kuwa in most cases wanaolalamika wengi ni wale ambao wamekwenda kusoma kwa ufadhili, mtu aliyejisomesha huyo ana uwezo hata akija Tanzania na kazi akawa amekosa atajiajiri mwenyewe.
Wengi waliosoma kwa ufadhili hata hiyo nauli ya kuja likizo HAWANA, mtu anasoma miaka mitano na hajawahi kurudi mpaka wamemaliza. Scholarship value inakuwa calculated yani hakuna kinachobaki na kama kipo basi ni kidogo sana. Nchi nyingi siku hizi zimebadili/zimekaza sera zao kuhusu foreigners, kazi hakuna na hata hao wachache wanaojibana kutuma mizigo Tanzania kwa biashara wengi wao issue ya Transport inabana sana!! Cbm moja inakwenda mpaka 200-500 USD.
Habari wanajamii,
Mimi nimesoma shahada yangu nje ya nchi. Wakati nipo nasoma, watu wengi walikuwa wananiambia "aaah we ukija ajira fasta, vyeti vya mbele vinauza". Nimerudi hamna cha mauzo wala nini.
Kwa mnaosoma nje, usiweke high expections kuhusu ajira mkirudi Bongo, tena afadhal waliosoma huku wanajua pa kuanzia, ajira Bongo ni ngumu,,unless unajulikana. Kila la kheri kwa tunaotafuta kazi na wasomi wa nje masomo mema.
Nawasilisha.
Ee bwana wakuu mimi nipo nje nasoma master mambo ya IT security, nataka nirudi bongo mwakani. Vipi ajira kwenye fani yangu iko vizuri au ndio imekula kwangu?
Finance,3.9