Soko la ajira kwa waliosoma nje

Soko la ajira kwa waliosoma nje

Angalia vizuri mkuu, hiyo sio statement yangu ,ni mtu aliandika ivo nikamjibu,, angalia kwa makini zaidi kidogo.


Najua sio statement yako, ila nilitaka tu nikuonyeshe jinsi watu wa hapa Bongo tunavyofikiri na madhara yake kwa watu kama wewe haswa kama mtu anahusika katika kutoa ajira.
 
inategemea na huko nje umesomea chuo gan,kuna baadhi ya vyuo vya india na malaysia ambavyo havina ubora kivile,so hata waajiri wengi huwa wanavipotezea

Mbona waziri wetu wa fedha kasoma Malaysia banaa
 
yan mjomba sahivi ni techinical know who na sio technical know how,kama huna memo hata uwe umesoma mbinguni utaishia kusaga lami,hii ndo Tanzania

Hii kitu inaipeleka nchi ktk hali mbaya ya ufisadi na mitandao ya rushwa kila kukicha. Mana uwajibikaji unatoweka kabisa sehemu za kazi.
 
Sasa mnanitisha mie niliyeacha kazi nikaja kusoma South Korea....Ndio imekula kwangu??
 
Ajira kwa waliosoma nje ni majanga mkuu. We acha tu, inauma lakini ndio uhalisia wenyewe. Unaapply kazi, unaachwa wewe anachukulia mtu wa diploma tena sijui chuo gani huko nanjilinji. Unabaki na makaratasi yako unayaangalia tu na kujipa moyo.
unaamua kufanya biashara, huko nako unakumbana na TRA, license , afya, fire extinguisher na kila aina ya changamoto!
Cc #mkoroshokigoli
 
Hakuna aisee. Mathalani mm nilienda India. Hakuna kazi na huruhusiwi kufanya kazi wanasema idadi yso ya watu ni kubwa mno na wengi hawana ajira. Kwa hiyo wewe ukipewa kazi utawazibia riziki wenye nchi yao. Hata unapokwenda Ubalozi wao kukata viza unaambiwa hivyo.

Mkuu nadhani ni Asia nzima, yani kazi hakuna unaishia kujipikia,kula, kulala na kusoma tu, boksi hakuna
 
Ajira kwa waliosoma nje ni majanga mkuu. We acha tu, inauma lakini ndio uhalisia wenyewe. Unaapply kazi, unaachwa wewe anachukulia mtu wa diploma tena sijui chuo gani huko nanjilinji. Unabaki na makaratasi yako unayaangalia tu na kujipa moyo.
unaamua kufanya biashara, huko nako unakumbana na TRA, license , afya, fire extinguisher na kila aina ya changamoto!
Cc #mkoroshokigoli

Kweli mkuu?
 
Unapojipanga kwenda kusoma nje ya nchi ni vizuri ukatafakari hiyo fani unayoifuata nje ya nchi ina uhitaji mkubwa kiasi gani hapa Tanzania,Je hapa Bongo hakuna kozi kama hizo unazozifuata nje?,Kama ukifanya utafiti vizuri utagundua kuwa unaweza kwenda kusoma nje lakini ukarudi kukuta kuna waliosoma hapa hapa kozi kama yako na wanakidhi mahitaji ya waajiri kwa mazingira yetu.

Hizo story za kusoma nje na kuja kukuta ajira nje nje kwa kweli kabisa ni enzi zile za miaka ya mwanzoni tu baada ya uhuru,ambapo wasomi walikuwa wanabembelezwa,hata darasa la nane walienda nje kusoma na kurudi kuajiriwa serikalini.mf ni madaktari kumi baada tu ya uhuru waliopokea nyazifa kutoka kwa wazungu, walipelekwa nje fasta na kurudi kushika nyazifa nyeti,Enzi hizo zimeishapita na hazitarudi tena.

Kama unaenda nje,nenda kasome fani adimu ambayo ukirudi unaanzisha kitengo au utafute ajira kwingineko.Ushauri wangu kwako kama umesoma na umeelimika basi ingia sokoni ujiajiri katika fani yako bila kuitegemea ajira ya serikalini AU rudi tena shuleni ukaongeze ujuzi,maana kadiri unavyotumia muda wako kujiendeleza kielimu ndivyo soko lako linavyozidi kupanda chati. Kila lakheri mkuu.
 
Baba usome nje usome ujifungie ndani yote yale yale...
 
Wazeee mi nataka niache kazi niende zangu Korea huko nikapige shule...vipi hapo ntakuwa nimechemsha??
 
Ukisoma nje ukarudi bongo, wazee wa TCU/NACTE stress zinaanza. Ku-certify cheti kuwa ni real and equivalent sometimes ni mmhhh! Mi sina hamu nao TCU. Wamenikomoa mpaka nashindwa hata kuelezea.
 
Ajira kwa waliosoma nje ni majanga mkuu. We acha tu, inauma lakini ndio uhalisia wenyewe. Unaapply kazi, unaachwa wewe anachukulia mtu wa diploma tena sijui chuo gani huko nanjilinji. Unabaki na makaratasi yako unayaangalia tu na kujipa moyo.
unaamua kufanya biashara, huko nako unakumbana na TRA, license , afya, fire extinguisher na kila aina ya changamoto!
Cc #mkoroshokigoli

Umesahau na ma-TCU kuvalidate vyeti vyako...
 
Wabongo tunapenda kuzibiana sana, kwa hiyo mara nyingine unaweza kuwa umesoma kumbe kazi zinaenda kwa kujuana.

Na kwa uoande wa watafuta ajira wengine nao majanga, mtu anaweza kukuambia yeye ni graduate wa university lakini hata kujieleza hawezi.

Kwa sasa wengine hapo bongo hakuna global scene ya kutuvutia, kwa hiyo bado tunapiga mchakamchaka viwanja vikubwa.
 
Habari wanajamii,

Mimi nimesoma shahada yangu nje ya nchi. Wakati nipo nasoma, watu wengi walikuwa wananiambia "aaah we ukija ajira fasta, vyeti vya mbele vinauza". Nimerudi hamna cha mauzo wala nini.

Kwa mnaosoma nje, usiweke high expections kuhusu ajira mkirudi Bongo, tena afadhal waliosoma huku wanajua pa kuanzia, ajira Bongo ni ngumu,,unless unajulikana. Kila la kheri kwa tunaotafuta kazi na wasomi wa nje masomo mema.

Nawasilisha.

Niliwaambia muda mrefu sana njooni na ujuzi mfungue viwanda mzalishe mali na ajira kwa ndugu zenu, na sio kuja na makaratasi hapa, ambayo hata mimi naweza kuprint, wewe ulipaswa kuja na ujuzi upewe fedha uanzishe uzalishaji uajiri wenzako na sio wewe unakuja ili tukuajiri tena. ibeni ujuzi. utaalamu nk msiibe spanner.maeneo yapo huku masoko afrika yapo njooni mzalishe. sio mzalishwe.
 
Bora anaesoma algeria maana inatoa scholarship za science only na imetoa vyuo 10 kati ya 100 bora duniani tatizo sio ajira mnaaona nini huko nje na chuo kipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom