Chapa Nyingine
Member
- Mar 24, 2014
- 34
- 23
Habari wanajamii,
Mimi nimesoma shahada yangu nje ya nchi. Wakati nipo nasoma, watu wengi walikuwa wananiambia "aaah we ukija ajira fasta, vyeti vya mbele vinauza". Nimerudi hamna cha mauzo wala nini.
Kwa mnaosoma nje, usiweke high expections kuhusu ajira mkirudi Bongo, tena afadhal waliosoma huku wanajua pa kuanzia, ajira Bongo ni ngumu,,unless unajulikana. Kila la kheri kwa tunaotafuta kazi na wasomi wa nje masomo mema.
Nawasilisha.